World's biggest snake found dead

Nasikia wanawake wengine wakistuka kwa woga wanajikuta wameshafika kwenye unajimu bila kujijua. Vipi, uko sawa dada?
Wanaume huwa wanajikojolea kabisa! Kama sio kuhara!
 
Julius bana, unadanganya hata weekend. largest snake ni huyu bana:

No, ni huyu:


Nimekosea kidogo, ni huyu:


No, huyu ndo alikuja kuonekana mkubwa:


Ila kuna mtu aliniambia ni huyu:


aaah, confused now. Nimemkuta huyu:


Mimi naacha sasa, so confused. Wanatumia kipimo gani? Na huyu je?


Huyu jamaa naye, anaharibu search yangu:

Hawa jamaa walifikiri huyu ndo largest:



Ooh, am giving up. Ila nawasalimia kutoka Texas!

 
@ semeji Sikonge wee ni msanii Lol!!! hahaaaaaa!!! I was tryin to imagine the incidence.

Shemeji, bahati mbaya kwako ni kuwa hii kitu iliyotekea kweli kabisa nikiwa Mazengo. Alikuwepo kijana aliteleza kwenye ngazi za kuingilia MESS.

It was something like this .... hii inaanzia nyuka ya asubuhi na kumalizia gima na beans za usiku zenye wadudu kibaoooo.......

 
Eeee bana eee..si utani aise..mwenyewe nimeruka..duh....simply..hilarious!
 

Basi shem tutaenda Ibadakuli....usukumani huko. Na usiogope...ntabeba kamguu kangu ka kuku. Utakuwa salama salimini kabisa ndani ya mikono yangu.
 
Basi shem tutaenda Ibadakuli....usukumani huko. Na usiogope...ntabeba kamguu kangu ka kuku. Utakuwa salama salimini kabisa ndani ya mikono yangu.

shem hapo umeongea, uamuzi mzuri sana labda ntapata na wasaa wa kenda ukweni
Ibadakuli hamna nyoka lakini shem?? nawaogopa sana hao mimi!!!
BTW: Jana ulibatizwa tena au???
 

usinikumbushe na yale ya msalato mweeh!! am sure supply wetu alikuwa mmoja shem!!!
ila huyo jamaa yako kiboko, 'mustini' wenyewe wa kiivyo na bado hajamwaga kitu??
 
shem hapo umeongea, uamuzi mzuri sana labda ntapata na wasaa wa kenda ukweni
Ibadakuli hamna nyoka lakini shem?? nawaogopa sana hao mimi!!!
BTW: Jana ulibatizwa tena au???

Huyo(Nyani Ngabu) ndo shemeji yako wa ukweli sasa,yupo yeye na Ng'waninyami(Hope naye ataibuka soon)
 
nimesoma maoni nikashangaa kuona kila mtu anasema kapata mshtuko na mimi kuangalia nikajikuta naishia kupata mshituko!
 
Shiiiit!!!! Nimetoka mitaaa!!!! Aisee hebu shusha mapigo yangu ya moyo, nimehisi tayari keshanirukia usoni! Duhhh! hi siyo yenyewe kabisa. ujue nimeangalia kabla ya kusoma maoni, nashangaa nyoka unayesema amekufa, anarukia watu. shiiit!
 
shem hapo umeongea, uamuzi mzuri sana labda ntapata na wasaa wa kenda ukweni
Ibadakuli hamna nyoka lakini shem?? nawaogopa sana hao mimi!!!
BTW: Jana ulibatizwa tena au???

Hey shem...whats up? Ibadakuli hakuna majoka makubwa kama hilo shem...vipo vile vidogo dogo tu. Na hivyo huwaga haviishi karibu na watu...

Na shem wako Ng'waninyami atarudi tu. Vuta subira kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…