World Vision Ni shirika la kikristo limeanzishwa na mkristo mwinjilisti kuwasaidia watu wanapoamua kuwa wakristo na misingi yake ni ya kikristo hivyo mwislamu hawezi kwa sababu mambo yao ni ya kikristo kristo.
Ndiyo maana wanauliza vifungu vya biblia kujiridhisha kwamba candidates ni wakristo. Kwa hiyo ukiwa ni mwislamu usihangaike kutafuta nafasi ya kazi humo labda ubadilishe dini au utafute mashirika ya kiislamu.
Kuna mzee aliniambia "ukienda sehemu ukamkosa Mhindi au Mchaga usiishi mahali hapo si salama''usemi huu nautafakari sana
Nchi yenu kamuulize Mohammed Said..hili shirika limekuja kutuharibia nchi yetu. lifukuzwe haraka sana
Kafute boko haramu,al-shababu na magaidi yote..ndio maana nimesema lifutwe hili shirika la kibaguzi. halina maana yoyote
ndio maana nimesema lifutwe hili shirika la kibaguzi. halina maana yoyote
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo
Sasa kama ni shirika la Kikristo unataka waulizwe koran?? Wewe ni mdini,pili wewe ni ccm tatu wewe ni mkabila nne haya yote unayoyasema hapa malengo yako makuu ni siasa huna lolote bali unataka Chadema kionekane ni cha ukabila nimelijua hili baada ya kusopa thread zako zingine,AL-qaida wewe!
Kama vipi lifute wewe
Nchi yenu kamuulize Mohammed Said..
Wiki iliyopita kule Marekani makao yao makuu wametangaza kuwa wanautambua ushoga na katika ajira zao wameondosha kipengere cha kupinga mashoga kuajiriwa katika shirika lao.
Hata ule msikiti wa kwa mtoro k/koo viongozi wote wachagga..
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)tanzania ni nchi yetu.. hatutaki haya mashirika ya kubagua watu
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)
Na wewe darasa la 7 ulikuwa unataka ajira,kule wanataka wasomi tu,nyie sio Watanzania subirini uhuru wa Pwani(rais Mohamed Said)
Wachagga ndio kabila letu,we mzaramo nenda shule maisha ni zaidi draft,bao,chuma ulete..wachaga mnaendeleza tu ukabila wenu