udsm nacho chuo?? When it comes to global academics udsm ni takataka
Chuo ambacho kimetoa viongozi wengi maraisi,wakubwa wa serikali mbali mbali america ni Yale Univercity Kwa Africa ni UDSM ikifuatiwa na Makerere.UDSM inajulikana kama YALE of Africa kwa kuzalisha viongozi wengi wakubwa kuliko chuo chochote africa kama hujui.Hadi akina JOHN GARANG,MUSEVENI n.k wamepita hapo.Wengi walikuwa groomed hapo kuwa viongozi au walipokuwa walimu hapo wakafundwa wakatoka hapo viongozi.Usilolijua litakusumbua UDSM is a YALE OF AFRICA

chako ndio chuo!!!!

Umeelezea vizuri wengi hupenda kukiponda tu kwa vile walikosa nafasi UDSM ni best in Africa
Street University ni ya ngapi kwenye rank mkuu?
Mmh! mbona Tanzania sijaiona
Sijahesabu lakini karibu robo ya hii orodha au zaid n USA tupu ikifuatiwa na uingereza
UDSM ya ngap?
Hii naona ungemuuliza Dk. a.k.a. Prof. Shigongo
Tumaini, IFM, MZUMBE na SAUT ni vya ngapi?
UDOM je
UDOM may be top 400 kitakuwepo!!
afadhali ulipoishia hapo kaka kwa sababu Udsm ingekuwepo kwenye hiyo list jukwaa lingechafuka!
udsm nacho chuo?? When it comes to global academics udsm ni takataka
wapi UDOM?
sibishani kijinga maana list inajitosheleza
kiukweli hii taarifa niliisikia lakini sikuelewa izo hati chafu ni zipi zinazozungumziwa hapo.Mwenyekiti wa Kamati ya udumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (Pac), Deo Filikunjombe (pichani), ameagiza kuchunguzwa kwa vyuo vikuu vya Dar es Salaam (UDSM) na Dodoma (Udom), kwa madai ya kupata hati chafu kila mwaka wakati ni vyenye kuzalisha wataalam kwa wingi.
Akizungumza na waandishi wa habari, jana Jijini Dar es Salaam, katika ofisi ndogo za Bunge, ambako vikao vya kamati za Bunge vinaendelea, alisema ni aibu kwa vyuo hivyo kuwa na hati chafu.
Alisema kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), vyuo hivyo kupata hati chafu ni jambo ambalo linatia mashaka hasa ikizingatiwa vimekuwa vikiandaa wataalamu mbalimbali.
"Vyuo hivi vinategemewa kuandaa wataalam mbalimbali na wengi wanatumika kwenye taasisi mbalimbali, lakini wanapata hati chafu, kuna haja ya kuchunguza kupata ukweli wa mambo," alisema.
Home
Watajua wenyewe. Ninachojali ni kupata ka degree kangu na kupata kazi mkono uende kinywani
.........Aha ha ha ha ha!! duuuh, kaka umeamua kukishushia hadhi yaani hujaona viongozi wote ambao ni mfano mzuri hadi umeamua kukisifia UDSM kwa kutoa wasomi wazuri akina GALANG na MUSEVENI.Chuo ambacho kimetoa viongozi wengi maraisi,wakubwa wa serikali mbali mbali america ni Yale Univercity Kwa Africa ni UDSM ikifuatiwa na Makerere.UDSM inajulikana kama YALE of Africa kwa kuzalisha viongozi wengi wakubwa kuliko chuo chochote africa kama hujui.Hadi akina JOHN GARANG,MUSEVENI n.k wamepita hapo.Wengi walikuwa groomed hapo kuwa viongozi au walipokuwa walimu hapo wakafundwa wakatoka hapo viongozi.Usilolijua litakusumbua UDSM is a YALE OF AFRICA
Mwenyekiti wa Kamati ya udumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (Pac), Deo Filikunjombe (pichani), ameagiza kuchunguzwa kwa vyuo vikuu vya Dar es Salaam (UDSM) na Dodoma (Udom), kwa madai ya kupata hati chafu kila mwaka wakati ni vyenye kuzalisha wataalam kwa wingi.