Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,279
- 54,691
ππ πππ€£ππππ€£π€£Makafir wanaumia
ππ πππ€£ππππ€£π€£Makafir wanaumia
Mashoga acheni maksiriko.Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Katafiti mwenyeweWanaongoza kwa utafiti uliotolewa na taasisi gani?
Haya maneno umeyatoa wapi? hii tafsiri ni ya nani?Rangi za upinde wa mvua manake Mungu hata iangamiza dunia kwa maji tena.
#MaendeleoHayanaChama
Kasome kitabu cha mwanzo kuhusu historia ya Nuhu na gharika.Haya maneno umeyatoa wapi?
Kwahiyo wewe ulitafiti ndio maana ukasema wanaongoza?Katafiti mwenyewe
Nani muandishi wa hicho kitabu?Kasome kitabu cha mwanzo kuhusu historia ya Nuhu na gharika.
#MaendeleoHayanaChama
Unadhani kwa akili yako dhambi unaweza pambana nayo kwa kujiripua mabomu..vita vyetu si juu ya nyama na damu bali dhidi ya roho chafu zidanganyazo walimwengu...ukiielewa hii siri huwezi kuja na makasiriko.Mashoga acheni maksiriko.
Nabii musa alipewa maono akaandika kitabu cha mwanzo.Nani muandishi wa hicho kitabu?
Kajifundishe kuandika kwanza ila mashoga wamepigwa marufuku Qatar,makasiriko yako hayawezi kubadili chochote,kaa kwa kutulia.Unadhani kwa akili yako dhambi unaweza pambana nayo kwa kujiripua mabomu..vita vyetu si juu ya nyama na damu bali dhidi ya roho chafu zidanganyazo walimwengu...ukiielewa hii siri huwezi kuja na makasiriko.
#MaendeleoHayanaChama
Watu hawalalamiki tu..bali ni vifungo vya sheria za waarabu..ambazo wengi hawajazizoea katika michezo ya world cup iliyowahi kutokea duniani.
Kwahiyo shida ya qatar ni mashoga tu..sijawahi unga mkono mashoga.Kajifundishe kuandika kwanza ila mashoga wamepigwa marufuku Qatar,makasiriko yako hayawezi kubadili chochote,kaa kwa kutulia.
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana na inaonekana hujawahi kufuatilia events za World cup,sio kila nchi iliruhusu pombe uwanjani,jifunze kufuatilia vitu kwanza.Watu hawalalamiki tu..bali ni vifungo vya sheria za waarabu..ambazo wengi hawajazizoea katika michezo ya world cup iliyowahi kutokea duniani.
Sawa sawa na wewe umezoea kwenda disko ila unaambiwa leo hakuna kucheza wala kurukaruka bali utasimama au kukaa tu huku ukisikiliza mziki.
#MaendeleoHayanaChama
Endelea tu kuumia ila mashoga yamepigwa ban Qatar.Kwahiyo shida ya qatar ni mashoga tu..sijawahi unga mkono mashoga.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna sehemu ni mesema waruhusu kunywa pombe uwanjani??mbona hujielewi.Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana na inaonekana hujawahi kufuatilia events za World cup,sio kila nchi iliruhusu pombe uwanjani,jifunze kufuatilia vitu kwanza.
Mashoga wapigwe ban thats none of my business..sijawahi unga mkono mashoga...nacho chukia ni unafiki wa waarabu.Endelea tu kuumia ila mashoga yamepigwa ban Qatar.
Hivi hujajishtukia tu kua umegeuka kituko kwenye hii thd? udini unakutesa sana aisee,huu muda unaoutumia kupambana na jambo usiloliweza kwanini usiutumie kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha?Sio mbaya kujifariji..wakati hapo ilani huo uislamu wanaukataa..na wengi zaidi wanakimbilia ulaya na usa kukimbia york ya uislamu.
Waislamu halisi ni wale magaidi ndio wanuishi Islam wengine ninyi ni waislam wa mchongo...dini ya waarabu.
#MaendeleoHayanaChama