World Islamic Cup, 2022 Qatar

.
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-074751_Gallery.jpg
    Screenshot_20221120-074751_Gallery.jpg
    104.1 KB · Views: 9
Unadhani kwa akili yako dhambi unaweza pambana nayo kwa kujiripua mabomu..vita vyetu si juu ya nyama na damu bali dhidi ya roho chafu zidanganyazo walimwengu...ukiielewa hii siri huwezi kuja na makasiriko.

#MaendeleoHayanaChama
Kajifundishe kuandika kwanza ila mashoga wamepigwa marufuku Qatar,makasiriko yako hayawezi kubadili chochote,kaa kwa kutulia.
 
Watu hawalalamiki tu..bali ni vifungo vya sheria za waarabu..ambazo wengi hawajazizoea katika michezo ya world cup iliyowahi kutokea duniani.

Sawa sawa na wewe umezoea kwenda disko ila unaambiwa leo hakuna kucheza wala kurukaruka bali utasimama au kukaa tu huku ukisikiliza mziki.

#MaendeleoHayanaChama
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana na inaonekana hujawahi kufuatilia events za World cup,sio kila nchi iliruhusu pombe uwanjani,jifunze kufuatilia vitu kwanza.
 
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana na inaonekana hujawahi kufuatilia events za World cup,sio kila nchi iliruhusu pombe uwanjani,jifunze kufuatilia vitu kwanza.
Kuna sehemu ni mesema waruhusu kunywa pombe uwanjani??mbona hujielewi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio mbaya kujifariji..wakati hapo ilani huo uislamu wanaukataa..na wengi zaidi wanakimbilia ulaya na usa kukimbia york ya uislamu.

Waislamu halisi ni wale magaidi ndio wanuishi Islam wengine ninyi ni waislam wa mchongo...dini ya waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
Hivi hujajishtukia tu kua umegeuka kituko kwenye hii thd? udini unakutesa sana aisee,huu muda unaoutumia kupambana na jambo usiloliweza kwanini usiutumie kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom