World Hijab Day kuadhimishwa February 1

World Hijab Day kuadhimishwa February 1

Joined
Nov 14, 2013
Posts
67
Reaction score
42
World Hijab Day ni siku maalum ya uhamasishaji wa vazi la hijab kwa wanawake. Binafsi naona ni alama nzuri ya kuhimiza uvaaji wa mavazi ya stara kwa wanawake, maana wengi wetu tumejisahau kabisaa. Imefikia wakati tunaenda maofisini na mavazi ya kulalia au hata yale ya kuogelea. Heshima ya mwanamke ni kujihifadhi. wanaokubaliana na mimi watoe maoni yao juu ya mavazi sahihi kwa mwanamke wa kitanzania. Karibuni
 
Kila la kheri...ila tambueni hijabu haifichi ufethuri..nje hijab ndani bikin..
 
Chagua
 

Attachments

  • 1391005572637.jpg
    1391005572637.jpg
    60 KB · Views: 108
subiri wavaa vichupi na wadau wao watakavyo anza kutoa mapovu.
 
Kwani Uislam unasemaje kuhusu hizo hijab? Na huwa nasikia mkiambiana kuwa ooooh yule bidaaa mara vile sasa hii siku na yenyewe sio bidaa maana ninarafiki yangu Muislam anaipinga.
 
Back
Top Bottom