Februari 06: Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji. Yafahamu madhara ya vitendo hivyo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,941
2,000
Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji kuadhimishwa kila Februari 6. Kaulimbiu ya mwaka 2021 ni "Hakuna muda wa kutochukua hatua. Ungana, Fadhili na chukua hatua kukomesha ukeketaji"

Ukeketaji ni kitendo kinachohusisha ukataji sehemu za siri za kike kwa sababu zisizo za matibabu. Kimataifa, inatambuliwa kama ukiukaji wa #HakiZaBinadamu, Afya na uadilifu wa wasichana na wanawake

Maadhimisho ya siku hii hulenga kuhimiza Serikali, Asasi za Kiraia, na mashirika mengine kuongeza uelewa na kutekeleza vitendo dhidi ya Ukeketaji

Shirika la UNFPA linakadiria kuwa, Wasichana Milioni 2 wapo katika hatari ya kufanyiwa ukeketaji hadi kufikia mwaka 2030

MADHARA YA VITENDO VYA UKEKETAJI

Maumivu: Kitendo hivho husababisha maumivu makali kwa Msichana au Mwanamke na imeelezwa, kipindi cha kujiuza nacho huwa kigumu

Hatari ya Maambukizi: Kutokana na matumizi ya vifaa visivyo safi, salama, na ambavyo vimetumika kwa mtu zaidi ya mmoja, anayekeketwa yupo katika hatari ya kupata maambukizi yakiwemo ya VVU

Matatizo ya Kisaikolojia: Tatifi mbalimbali zimeonesha waliofanyiwa vitendo hivyo wana uwezekano mkunwa mkubwa wa kupata matatizo hayo

Athari nyingine ni pamoja na kupoteza damu, maumivu wakati wa haja ndogo, matatizo katika mzunguko wa hedhi, changamoto wakati wa kujifungua na kifo

=====

International Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation is observed every year on 6 February in order to spread awareness and put in more efforts to eradicate Female Genital Mutilation. Introduced in 20003 by the UN, the day is dedicated to amplifying the ways and attempts taken to stop this practice. This system is forced on girls from 4 to 14 years in the name of ritual. In this practice, the external female genitalia is removed partially or completely. This is a human right violation as it can cause physical damage, psychological trauma and irreversible problems.

This day encourages civil society, government and other organizations to increase awareness and implement actions against Female Genital Mutilation (FGM).

International Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation 2021: Theme

The UNFPA-UNICEF Joint Programme on the Elimination of Female Genital Mutilation and the Inter-African Committee on Traditional Practices (IAC) this year has launched the theme "No Time for Global Inaction, Unite, Fund, and Act to End Female Genital Mutilation." Due to the pandemic, this practise has increased which is the reason the UN has called on the global community to reimagine a world that gives every woman and girl a voice and choice of their own, to give them control over their life.

International Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation: History and Significance

In 2003, the First Lady of Nigeria and spokesperson for the Campaign Against Female Genital Mutilation, Stella Obasanjo, declared 'Zero Tolerance' to Female Genital Mutilation during a conference in Africa. The conference was held by the Inter-African Committee on Traditional Practices Affecting the Health of Women and Children (IAC), after which the UN adopted this day as an international awareness day.

Female Genital Mutilation practice has been there for over a thousand years. The government strives for its complete eradication by 2030. The movement began to protect girls and women from violence as well as the protection of their physical health. According to WHO data, about 120 to 140 million women have been subject to FGM over the years and currently at least 3 million girls are at risk each year.

Every Woman, Every Child (a global movement), reports that "Although primarily concentrated in 29 countries in Africa and the Middle East, FGM is a universal problem and is also practiced in some countries in Asia and Latin America. FGM continues to persist amongst immigrant populations living in Western Europe, North America, Australia and New Zealand."

Short-term health risks of FGM

Severe pain. Cutting the nerve ends and sensitive genital tissue causes extreme pain. The healing period is also painful.

Excessive bleeding (haemorrhage). Can result if the clitoral artery or other blood vessel is cut.

Shock. Can be caused by pain, infection and/or haemorrhage.

Genital tissue swelling. Due to inflammatory response or local infection.

Infections. May spread after the use of contaminated instruments (e.g. use of same instruments in multiple genital mutilation operations), and during the healing period.

Human immunodeficiency virus (HIV). The direct association between FGM and HIV remains unconfirmed, although the cutting of genital tissues with the same surgical instrument without sterilization could increase the risk for transmission of HIV between girls who undergo female genital mutilation together.

Urination problems. These may include urinary retention and pain passing urine. This may be due to tissue swelling, pain or injury to the urethra.

Impaired wound healing. Can lead to pain, infections and abnormal scarring.
Death. Death can result from infections, including tetanus, as well as haemorrhage that can lead to shock.

Mental health problems. The pain, shock and the use of physical force during the event, as well as a sense of betrayal when family members condone and/or organize the practice, are reasons why many women describe FGM as a traumatic event.

Long-term health risks of FGM (occurring at any time during life)

Pain. Due to tissue damage and scarring that may result in trapped or unprotected nerve endings.

Infections:
  • Chronic genital infections. With consequent chronic pain, and vaginal discharge and itching. Cysts, abscesses and genital ulcers may also appear.
  • Chronic reproductive tract infections. May cause chronic back and pelvic pain.
  • Urinary tract infections. If not treated, such infections can ascend to the kidneys, potentially resulting in renal failure, septicaemia and death. An increased risk of repeated urinary tract infections is well documented in both girls and adult women who have undergone FGM.
Painful urination. Due to obstruction of the urethra and recurrent urinary tract infections.

Vaginal problems. Discharge, itching, bacterial vaginosis and other infections.

Menstrual problems. Obstruction of the vaginal opening may lead to painful menstruation (dysmenorrhea), irregular menses and difficulty in passing menstrual blood, particularly among women with Type III FGM.

Excessive scar tissue (keloids). Excessive scar tissue can form at the site of the cutting.
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
2,496
2,000
nashauri hizi taasisi zenye kupambana na ukatili wa kijinsia zihamie au zihanishie makao makuu yao ktk mikoa ambayo imekithiri kwa ukatili wa kijinsia kama vile.

1. Mkoa wa Mara.
2. Singida.
3. Dodoma
4. Manyara
n.k
tukifanya hivyo tutafanikiwa kupambana na ukatili huo wa kijinsia.
tulenge wilaya na vijiji ambavyo hadi leo bado wanaendeleza tabia ya ukeketaji.
tusipambane na ulatili wa kijinsia wakati huo tumekaa mijini hiyo itakuwa ni kudanganyana
 

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,353
2,000
Ukweli ukeketaji ni dhuluma sana wanafanyiwa akina mama. Kuna mikoa ukienda unakutana na binti mzuri sana shida inakuja hana Amigo ama kibwenzi cha jogoo. Juzi kati nilipata binti mzuri nikasema kbs huyu ndio chaguo langu shida ikaja no Kibwenzi nichukia sana. Katika kuongea nae akaniambia anawachukia sana wazazi wake kwa kitendo walichomfanyia. TUPIGE VITA UKEKETAJI UNATUNYIMA RAHA WANAUME.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom