Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Waangalie nini wakati hiyo ni safari uzuri hata boda kwa boda wanaweza kufika kwao leo leo
hahaha kibo usinichekeshe
Waangalie nini wakati hiyo ni safari uzuri hata boda kwa boda wanaweza kufika kwao leo leo
huyu kipa wa uswiswi anapangua sana mipira nawaza zikija penalty sijui kwakweli
Nipo My ndugu,Mashambulizi yanaifanya nizubae mbele ya screenulipotelea wapi....
nimekuelewe ila mimi sijaweka images ni BAK huyo. wengi wameshamPM apeleke kule jukwaaa la picha na video world cup
Waangalie nini wakati hiyo ni safari uzuri hata boda kwa boda wanaweza kufika kwao leo leo
Penalt ni kesi ingine hiyo!
Argentina wamekuwa kama Cameroon