World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

wamejitaidi sana wa mexico na watatesa huko mbeleni kwani watoto wao watakuwa na uzoefu zaidi.nawatakia kila la kheri na timu yao.
 
Ngoma Argentina vs German, Mshindi hapo ndio Bingwa
 
maradona ana songa songa kidogo kidogo ,sasa wakamfunge mjerumani. Argentina vs Germany hela yangu na weka kwa Argentina japo kuwa moto utawaka siku hio.
 
OK lets wait what Germans gonna do, i smell disaster.
 
hakikisha unakuwepo JF kesho, hakuna samba wala lambada kesho ni kipigo tu kwa BRAZIL

hakuna mahali naenda mi ni wahapahapa....ngoja nikuulize kitu....hivi anacheza na nani tena?

 
Naona Tevez Baada ya kufunga goli la Pili akaenda kumkiss Legend
 
hakuna mahali naenda mi ni wahapahapa....ngoja nikuulize kitu....hivi anacheza na nani tena?

na CHILE ,na wewe nikuulize ,hivi mechi ya mwisho ya kirafiki ya BRAZIL walicheza na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…