Kwanza hebu weka picha zao hapa.
Pili, hakuna mtu mwenye uhakika kabisa wa kujua kuwa hajachanganya dna hususan aliezaliwa ktk jamii yenye watu mchanganyiko. Kwa mfano, wanugu wengi sana wana European ancestry...kwa nini? Kwa sabau jamii yao imejichanganya na weupe tokea karne ya 17 na ktk mazingira hayo inter-marriages ni inevitable. Hata Pele usije shangaa ana ancestral background ya wahindi wekundu...kwa vile tu ni mweusi kaa mpingo hiyo haimaanishi chochote.
Hao unaosema hawajachanganya dna hebu nipe miti ya familia zao kurudi nyuma hadi kwa watumwa na wanyapara wao tuone kama hakuna mchanganyiko hata kidogo....
Hawa jamaa wamechanganya damu kishenzi. nilikuwa na mwambia mnugu
mmoja kwamba hakuna pure black kwa hawa wanugu hata kama rangi yake
ni ya mpingo akawa anabisha nikamwambia angalia pua zenu zilivyo ndefu
na tofauti na zetu waafrika akawa anacheka.
Unajua unaweza kuwa na kadominant gene kakukupa rangi nyeusi lakini overall
wewe sio mweusi. nio maana lazima uangalie ficha zote uweze ku make
conclusion.
Ewaaa...wewe ndio unajua sasa. Kwa nchi zilizo racially diverse kama Marekani na Brasil hakuna cha pure black wala nini. Wanugu wengi sana kwa mfano wana ancestry ya Amerindian. Mwangalie kwa mfano yule actress wa sinema za Blaxploitation, Pam Grier, utaziona kabisa features za Amerindian.
Na kama ulivyosema, complexion haimaanishi u-pure wowote.
Umeona eh!? Mimi nakwambia Rev hizi nyimbo za Taifa zinawagusa sana hawa wacheza, mimi huwa sitaki kuzikosa kila zinapopigwa kabla ya mechi. Haya game ndiyo inaanza rasmi.
Uelewe kuwa hata wazungu wengi huko brazil au amerika ambao wanaonekana kama white as snow wana damu za kiafrika.Unajua hata huyo watson mwenye blue eyes alikuwa ni 25 african?
Oh yeah...kuna wazungu wengi ambao na o uki trace ancestry yao utagundua walau wana vi asilimia fulani vya asili ya kiafrika. Ndio maana namwambia Companero ktk jamii diverse kama Marekani na Brasil, watu pure in terms of race ni wachache au hakuna kabisa.
Uelewe kuwa hata wazungu wengi huko brazil au amerika ambao wanaonekana kama white as snow wana damu za kiafrika.Unajua hata huyo watson mwenye blue eyes alikuwa ni 25 african?
Mimi siongelei mambo ya mbari na nasaba kama sababu ya mafanikio, hizo ni hoja zako. Nachosema ni kuwa hata ukitumia hizo hoja za mbari na nasaba bado utagundua kuwa Waafrika wengi ambao hawajachanganya 'damu' wanafanikisha mambo ulimwenguni - Hivi unadhani Altidore na Eddu lazima wawe wamechanganya damu?
Sheria gani unazozizungumzia wewe? One drop rule au? Hivi W.E.B.DuBois wewe unamwonaje yule? Halafu na vipi wale wazungu waliokuwa wanawabaka wamama wa kitumwa wa Kiafrika na kuwazalisha...? Rejea historia ya Frederick Douglass...yule American abolitionist......Au umewahi kuwasikia Muhammad Ali na Malcolm wakielezea ni wapi wameutoa u light skinned wao?Fuatilia tena historia ya utumwa na usambaaji wa watu wenye 'asili' ya Afrika duniani utaona ni wengi tu hawakuchanganya 'damu' kutokana na sheria na adhabu kali za kuzuia kuchangamana kwa 'weusi' na 'weupe'! Wazungu walikuwa wanaogopa sana hicho kitu mnachokiita miscegenetation (uchangaji wa nasaba) na waliwaua sana wanugu waliojichanganya na watasha!
Nataka kubet game ijayo..Na-side na Uruguay for 100 bucks.Dua la kuku............................Yanakushuka tu Mpemba sasa................hahaaaaaaaaaaaaa
Nataka kubet game ijayo..Na-side na Uruguay for 100 bucks.