Ghana to win WC teh teh teh teh teh....all the way to final!
Aaaah wapi mwisho unakuja mbele ya Uruguay
Pole manake tayari ishakula kwako, kwi kwi kwi!.
tunavuka na hapo pia.
Tupinge....
US wakirudisha tu najua game imeisha, ntahamia zangu kulee kwene sketi fupi(Wimbledon). Hapa Ghana inabembea kwene uzi.
habri kwisha hapa! where is Muntari?
Kuna hatari kombe hili la safari hii likabaki Africa yaani inakuwa kama masihara ,ila ukweli ni atakapoangushwa Urugway ,niseme kweli hili kombe tokea mwanzo nilisema kuwa linabaki na nazidi kusema kuwa dalili za mwanzo zinaonyesha kuwa ,safari hii Brazili hafiki hata nusu fainali na hata akifika basi hachukui kombe ,kombe linabaki Afrika mkitaka msitake ,yaani leo Ghana :flock:amewafunga wakimbizi :lock1:,
Go Ghana Go!
Go Gyan Go!
Bring on Uruguay!
Bring on Paraguay!
Viva Vuvuzela Afrika
Viva Jabulani Afrika!
Ghana lakini wanahitaji ku-improve kwenye ku-finish games au watakuja kutolewa kijinga.