World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

nomaaa sana ugonjwa wa moyo wa mwisho kwenye world cup.mambo yakuangalia mpira kwa hasira wala sio starehe .
 
huyu kocha wa ghana huwa ananifanya mpaka nisahau kama Muntari ni mghana kwa jinsi anavyompiga bench.
 
........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2.
 
Nani hakujua kwamba Ghana kuifunga USA ni kazi ngumu? USA wameizidi Ghana kimpira miaka yote. Kibaya zaidi wanajiona kama wanajua mpira kuliko USA.
 
American haters eat a prick


255cf86f3390a606d8ddb01b39e0dea4-getty-fbl-wc2010-usa-gha-supporters.jpg

 
goaaaaaaaaaaaallllllllllllllll safi sana Ghana! (natania jamani LOL)
 
Back
Top Bottom