World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hehehehehehe lete raha!
 
kama kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa wamarekani basi ni patriotism. hawa jamaa wanaipenda nchi yao bana...na uongo mbaya na wana kila sababu ya kuipenda....

aah basi bana naona mambo si mazuri sasa. ngoja nisepe....
 
ANGEKUWA Drogba pale angejiangusha ha ha ha mzee masanilo usiondoke malizia game hilo.bana zile na nii tena sasa lisirudi.
 
.......Natamani mpira ungeishia hapa hapa, Ghana chapa chapa USA.
 
eebana eeeh sports bar leo zimeshona si kawaida.....sikujua mpira wa miguu uko popular kihivi marekani.....basketball watch out maana muda si mrefu soka itaifuata american football.....
Hebu angalia ma-blog yanavosema kuhusu socccer,

You know what I love about soccer? Is that it is much more about athleticism, versus basketball, which is about height, American football, which is about weight, or baseball, which has lost (for me anyway) most of its luster after all of the doping scandals. For anyone who thinks soccer is an easy game, I dare you to play it sometime. A more physically demanding game is hard to fathom, especially at this level of play.
 
WOW...........WOW...........what a finish...............
 
Sasa tuone kama watapata tena penati, US wamelala, and is good for Africa
 
Kipindi cha mume nguvuze.....

_48186903_pantsil.jpg
 
Ghana wameanza upuzi wa dana dana baada ya kufunga hili bao. USA can equalize any minute...Damn!
 
15minutes to go GHANAZ.........c'moooooooooooooon..................ghanazzzzzzzzzzz
 
tunakaribia... tunakaribia sana! mipira nje tu sasa hureeeeeeeeee
 
Ghana wajinga sana yani wanaanza kupoteza mda mapema sana saa hizi.baada kutafuta la tatu wafunge kazi.
 
Back
Top Bottom