Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Asamoah wtf?
yaani napiga picha pale mbele angesimama STRIKER MWENYE UCHU..........................
inaonekana huyu mserbia hakuangalia mechi za USA zilizopita hata waGhana wenyewe (bechi la ufundi) wanashindwa kutambua kuwa USA huwa ni hatari second half. Walipaswa kupiga goli 2 au 3 katika half hii.
usingebadilisha (drogba) mkuu nilikuwa namzingua masanilo lol.
mara nyingi ukihisi dalili za kuumwa ni vizuri ukawahi dawa mapema kuliko kusubiri kupakizwa kwenye ambulance.Duh, US wanafikiria kufanya Sub mapema namna hii?
Angalia mpira wewe kibonde wetu ....unamuona Boateng? Mzee Wanker amwangalie atawafaaa
jamaa mashine huyu ,kiboko ya ballack lol.