World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

hehehe leo ni sikukuu aisee, nalogi auti kuna mzembe anataka kutumia neti lakini GHANA ikishinda hakikisha unanipatia garama zako za wiki nzima ,nitasimamia mimi heeheheh

vp ile autingi bado ipo?...
 
...........Leo naombea USA wapate kichapo cha nguvu toka Ghana.Goooooooo Ghana gooo!!
 
yaani napiga picha pale mbele angesimama STRIKER MWENYE UCHU..........................
 
Ghana's National Anthem:



images


"God bless our homeland Ghana
And make our nation great and strong,
Bold to defend forever
The cause of Freedom and of Right;
Fill our hearts with true humility,
Make us cherish fearless honesty,
And help us to resist oppressors' rule
With all our will and might for evermore
 
inaonekana huyu mserbia hakuangalia mechi za USA zilizopita hata waGhana wenyewe (bechi la ufundi) wanashindwa kutambua kuwa USA huwa ni hatari second half. Walipaswa kupiga goli 2 au 3 katika half hii.
 
Back
Top Bottom