World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mmhhhhhhhh...........Mi nilijua tunawakawaka pamoja na Black Stars.........aaaaaaaaaaargh!!!!!!!!!!

tutofautiane hapa tu laaziz wangu........lakini mengine yote kama kawaida!!!
 
Punguza wasi, nyota zako hamsini na mistari leo hazitashine kwa nyota moja kubwa nyeusi.....

The Old glory today will shine all across the Indian Ocean all the way to the mighty Atlantic. USA baby....Bill Clinton atakuwa ndani ya nyumba halafu nimesikia nyepese nyepese kuwa kutakuwa na surprise guest pia...tusubirini...I'm pumped up
 
_48184243_uruguayteam_reuters.jpg
 
The Old glory today will shine all across the Indian Ocean all the way to the mighty Atlantic. USA baby....Bill Clinton atakuwa ndani ya nyumba halafu nimesikia nyepese nyepese kuwa kutakuwa na surprise guest pia...tusubirini...I'm pumped up

Indian Ocean?
 
Mi leo na Ghana yangu wapooooooole....Presha inapanda inashuka......Hao US mhhhhhhhhhhhhhh
 
Nani zaidi?

_48184525_009666086-1.jpg

_48184770_009628791-1.jpg

Sports too, kinda like politics has no permanent enemies (rivals) or friends, just permanent interests and it can also make strange bedfellows. I can't believe I'm here saying "Yes We Can"....

Go good 'ol USA....na hii mechi ilitakiwa ichezwe jumapili ijayo...lakini hapajaharibika kitu.
 
Mi leo na Ghana yangu wapooooooole....Presha inapanda inashuka......Hao US mhhhhhhhhhhhhhh

Unaona Ng'wanangwa...hiyo ni dalili ya hata wewe mwenyewe ku-acknowledge kwamba kiwango cha kabumbu cha USA kimepanda sana miaka ya hivi karibuni....ishukuriwe USA '94....
 
Back
Top Bottom