Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Uruguay 2 S.Korea 0........Suarez....hahaaaaaaaaaaa
Bado goli la Forlan kufunga kazi.
He he, mambo ya "Me against the world"~naamini utapata washirika tu!.Leo nahisi nitakuwa mimi dhidi ya wote humu kwenye gemu ya Yuesiei na Gana....
sasa lile game tuliokuwa tunasubiri linakuja na i hope litakuwa zuri na zaidi kama hii ya wakorea.
He he, mambo ya "Me against the world"~naamini utapata washirika tu!.
I doubt it..though I will be pleasantly surprised if I get at least one suporter. Mimi hiyo Migana siwezi kuishabikia aisee...hapana kabisa.
NN am ur surprise!!!
sijipi ugonjwa wa moyo mimi ngoja tu nijitulize kwa watoto wa Obama........