World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

dudayellowcard20100625_275x155.jpg

The story of the game so far: Duda gets a booking
 
naona mpira uliobaki leo ni spain na chile tu ambao tutaweza ku-enjoy, mpaka kesho ambapo world cup inaanza rasmi .
 
hawa BRAZIL wanacheza kuwapa jamaa droo, hii mechi ilitakiwa iwe one of the best, lakini hii BRAZIL kuwa keshapenya before hii mechi imeharibu utamu wote.
 
Hii game mbona Portugal ndio wanacheza vizuri
 
Mpira umekwisha na Ivory Coast wanashinda 3-0 lakini wametoka....Good show on the last game though.
 
hawa BRAZIL wanacheza kuwapa jamaa droo, hii mechi ilitakiwa iwe one of the best, lakini hii BRAZIL kuwa keshapenya before hii mechi imeharibu utamu wote.

Hiyo kauli yako hapo ni inadhihirisha jinsi gani Brasil walivyo wazuri maana mwenyewe umekiri kuwa wanacheza kuwapa sare Wareno. Hehehehee...mimi na Brasil mpaka mwisho.....na wao ndio watakuwa timu (taifa) la kwanza kunyanyua kombe back to back...kumbuka fainali zijazo zinafanyikia Brasil na there is no way mwingine kushinda hizo fainali zaidi ya Brasil
 
Nalenale nyingi sasa wametolewa!

90'

As for Ivory Coast, they will regret not pushing for victory in their opening game against Portugal. That 0-0 draw has been their undoing. They were outclassed by Brazil and deserved winners today, but leave Ghana as the only African contenders in the second round.

<LI id=264071-comment-4216703>90'

It always was the group of death, and as expected North Korea have not picked up a point. While they were soundly beaten by Portugal and Ivory Coast, that 2-1 defeat to Brazil was a memorable performance, full of promise that has been unfulfilled.

<LI id=264071-comment-4216693>90'

FULL-TIME Both Ivory Coast and North Korea are eliminated from the World Cup.
 
Naombea kwenye raundi ijayo Brasil wacheze na Wahispania wawatoe mapema. There is too much fuss about the Spaniards when they are not all that.
 
Brazil wameniudhi leo japo nitaendelea kuwa-support, anyway Ivory coast wasilaumiwe wamefungwa na Brazil, wamedraw na Portugal na wamewachapa Korea DPR 3:0. Wamejitahidi...
 
Nalenale nyingi sasa wametolewa!

90'

As for Ivory Coast, they will regret not pushing for victory in their opening game against Portugal. That 0-0 draw has been their undoing. They were outclassed by Brazil and deserved winners today, but leave Ghana as the only African contenders in the second round.

<LI id=264071-comment-4216703>90'

It always was the group of death, and as expected North Korea have not picked up a point. While they were soundly beaten by Portugal and Ivory Coast, that 2-1 defeat to Brazil was a memorable performance, full of promise that has been unfulfilled.

<LI id=264071-comment-4216693>90'

FULL-TIME Both Ivory Coast and North Korea are eliminated from the World Cup.

Na bora yametolewa hayo ma Ivorian.....
 
Back
Top Bottom