World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haya wapenda kandanda, kipyenga ndo karibu kinapulizwa. Mimi niko na Chile leo
 
Haya wapenda kandanda, kipyenga ndo karibu kinapulizwa. Mimi niko na Chile leo

Haya bwana hapa miye sina pressure yeyote atakayeshinda poa tu lakini kwa kuwa Spain wametabiriwa kuwa moja ya timu ambazo zinaweza kuutwaa ubingwa basi ningependa kuwaona wanaanza kuonyesha mchezo mzuri sasa na pia washinde leo ili wawemo katika the last 16.
 
Hawana lolote hao Wahispaniola na sijui watabiri wametumia vigezo kuwa fancy wao. Labda kwa vile ni mabingwa wa Ulaya....lakini cha kujiuliza mara ya mwisho Hispania kutwaa kombe la dunia ni lini......

Na huyu kipa wa Chile ndio kafanya nini sasa...hilo goli ni kosa lake
 
Mshukuru kipa kwa kuchemsha.....anatoka langoni namna hiyo anategemea nini....kaniboa sana

ooh!..pole ila bado sana mechi,hivyo Chile wanaweza kurudisha goli!..Kipa kweli aliachia lango kama vile haelewi mana naya mlinda lango!..
 
ooh!..pole ila bado sana mechi,hivyo Chile wanaweza kurudisha goli!..Kipa kweli aliachia lango kama vile haelewi mana naya mlinda lango!..

Aaah basi bana mimi ngoja niangalie katuni hapa.....naona hawa Chile wamevimbiwa chalupa
 
yani umesubiri goli la kwanza ndio ujitambulishe unawashangilia ha ha ha .haya kila la kheri mie nipo nipo tu nsubiri kesho sitaki stress za ajabu saa hizi nimebeba za kutosha na timu zangu za africa.

AW wewe umeotea eeh!..najitetea, ni kwamba nimeandika hii posti na goli linaingia..he he! halafu kingine sijawahi kufuatilia mechi za Chile zaidi ya hii WC10 hivyo sijawasoma fresh...
Wewe pumzika tu mana una presha kuanzia jumamosi iliyopita mpaka leo na timu zetu za uzalendo!..sasahivi ni kushangilia kila timu kutoakana na mechi zao!!
 
Back
Top Bottom