Ni Kama Arsene Wenger wa Arsenal LOL
hehehe leo kitaeleweka tu usjali , agiza unachopenda BILI nitalipa mimi
Hapana watakuwa wanalingana points..na wao wana negative zaidi kwene goal differenceAustralia wamepiga ghana out!!
BJ, hawa Waghana wana papara sana wakishaingia kwenye 18 walitakiwa wawe mbele at least kwa goli mbili. Kuna matumaini japa leo kwamba Wajerumani wanafungasha na kurudi kwao wakaanze upya kwa 2014.
Nimekosea! australia ndo wanatuokoa kumbe!