World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Fikiria huyu kocha wa Ghana kamuacha kabisa kwenye WC striker mzuri kama Junior Agogo.........Jamaa ana uchu hasa wa magoli lakini hayupo WC

AGOGO majeruhi.......MUNTARI alikuwa sumu dressing room(ego,indispline).......wachezaji waafrika wakiwa successful shida kudeal nao,kocha mkali matokeo yake ndio hayo hajali we ni nani ni benchi tu.......
 
Kapiga la pili haha! hawa Serbia wanafanya nini sasa? Ghana have to score now, otherwise out.
 
No mkuu Australia still inabidi wapige mawili kuipita Ghana
 
Yaani hi ni perfect situation for Ghana, lakini wanaweza waaaribu vile vile, AFRIKA!!!
 
Kapiga la pili haha! hawa Serbia wanafanya nini sasa? Ghana have to score now, otherwise out.

hapana mkuu , tupo kwenye nafasi nzuri zaidi kuliko kama angelishinda mSERBIA. tuombe Mungu matokeo yabakie kama yalivyo
 
ghana TOP SCORER in qualifiers ndio kaingia sasa hivi...........BALA upo???
 
Hamna kitu hapa Ghana inapita tu, Australia wanatakiwa waongeze mbili ili kuwa sawa na Ghana. Kimsingi wameizuia Serbia kitu ambacho ni kizuri. Bado ninaamini Serbia watapata kifuta jasho goli 1. Go Ghana Go...
 
Sijaelewa wakipiga 3-0 inakuwaje?

Australia itakuwa na -1 goal diff, ghana 0. So bado ghana inapita, labda iongezwe na wajerumani.

Na serbia KARUDISHA MOJA!! haha tumepenya!! Afrika!
 
Back
Top Bottom