World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ghana watafute kocha wa washambuliaji (wanaweza wakaachana na kocha wa makipa).

i can see clearly what you mean......mtu anakosa goli la wazi ktk mechi muhimu kama hii...................
 

Loading...

A Ghana supporter makes a face prior to the World Cup group D soccer match between Ghana and Germany at Soccer City in Johannesburg, South Africa, Wednesday, June 23, 2010.

Huyu Bwana sijui ndio mshika tunguli zao hawa Ghana!.
 
Germans seems they want it more..na hii itawasababisha washinde hii kitu.

MKOLONI anajua lazima leo ashinde.....GHANA kwa akili yao wanaona draw inatosha hawajui mentality hio itawafungisha......
 
Back
Top Bottom