klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
positively.....ninahakika ghana watapita.....na MKOLONI akifanya mchezo anaondoka kabisaaaaa....
:amen:
positively.....ninahakika ghana watapita.....na MKOLONI akifanya mchezo anaondoka kabisaaaaa....
positively.....ninahakika ghana watapita.....na MKOLONI akifanya mchezo anaondoka kabisaaaaa....
ndio napata fahamu saa hii...mzima wewe....Ndio unaamka, kumekucha saa nyingi!.
niko pouwa...haujambovipi dada??mzima....
weeeee nani awashangilie wale walia hovyo....Portugal ni ndugu wa brazil na mimi ni mchumba wa Paco ujuenaona chama lako N.KOREA limepigwa 7 bila nguo juzi heheheeh
we subiri utaamini maneno yangu leoMbona unaishia kuguna tu? Au ndo unasubiri ule msemo kwamba waafrika tunaweza kuwa mabingwa wa world cup ya mambo flani tu?
Ila sometimes nammind sana kocha aisee........Mbona napenda kuwaweka benchi wataalam na wakongwe kama Stephen Appiah,Suley Muntari na Mathewe Amoah???............Pia kuna bwana mdogo Dominic Adiyah angemjaribu huyu,ni striker mzuri sana hope angewafungia magoli ya ukweli na si yale ya penati ya Asamoah Gyan
we subiri utaamini maneno yangu leo
Una 'confidence' ya hali ya juu,na iwe mkuu!..wakipita Ghana inabidi tufanye party au?!
hawa makocha kweli wanatuachia maswali kichwani....lkn naona hii squad ya ghana ni ngumu umpange/umuache nani....hawa vijana ni wazuri kwa kweli....mwangalie huyu mtoto wa pele....mwangali prince boateng....mwangalie prince tergoi....halafu dimbani kuna mtoto anaitwa ANNAN wote hao wanaperform na ndio wamewaweka wale wazoefu benchi....
Asante,nimeshakaribia..nakwambia leo baada ya mechi tusichuniane Ghana ikifunwa...Ila leo panatokeka kweli?
hehehe leo kitaeleweka tu usjali , agiza unachopenda BILI nitalipa mimi
hahahahahahahahahahahaha...c'moooooooooooooon black stars.....mfunge mkoloni huyo afunge virago mapemaaa....
watu mna roho ngumu jamani....hivi hamtaki kukubali tu
Una 'confidence' ya hali ya juu,na iwe mkuu!..wakipita Ghana inabidi tufanye party au?!
watu mna roho ngumu jamani....hivi hamtaki kukubali tu