Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Hola hola Kijeba!.
oh africa waka waka eeeh
haya sasa...lack of ambitions ndio matokeo yake hayo.....sasa ona watakavyokurupuka kutafuta goli wataongezwa lingine....MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO............
Ghana hawa watoto akina Kwadwo,Annan,na Ayew wanazingua tu..........bora kocha angewaanzisha wazoefu badala ya kuwajaribu hawa..........Wastegemeee kupata penati leo...
Tuombe matokeo ya Australia na Serbia yawe tunavyotaka
Mi nalia na Kocha wao tu........Hapangi timu kwa malengo aisee
saa hizi kocha ndio anaomba msaada kutoka kwa muntari alafu huyu jamaa anaotoka huwa yupo yupo tu uwanjani.