Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Serbia wamechomoa kimoja.
He he..naomba uamini tu kuwa Ghana imetoka mpaka WC14..sasa usipige makofi,lia kwenye avatar yako!..mi siangalii tena hii mechi,lol!
Uzalendo uzalendo bibie!.we angalia tu goli la pili linaingia sasa hivi....germany oyeeee....sitaki presha mimi
GHANA VS USA, ENGALND VS GERMANY kamamatokeo yataendelea kuwa hivi simchezo naona world cup ndio inaanza rasmi sasa.
ghana TOP SCORER in qualifiers ndio kaingia sasa hivi...........BALA upo???
Uzalendo uzalendo bibie!.
huyu MUNTARI mbona ndio anaharibu kabisa aaaaarghh...........