World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Capello naye kabla ya game ametoa Mpya "I'm not crazy - I still believe we'll win the World Cup!" :smiling:

Hivi kabla ya kuja huku WC nakumbuka capello alisign mkataba mpya mpaka 2012 na timu ya Taifa ya England ss kama atashindwa kusonga aatachia Ngazi yeye au FA watavunja nae mkataba?? Kama England ndo uwezo wao umeishia hapo wakulaumiwa ni kocha au players walioshindwa kudeliver gud results??!
Leo Kwakweli karata naweka kwa Solvenia kama kocha wao alivyowabeza kusema Engand wanaweza kufika Final ..wakati akijua wanakibarua kushinda kwa Slovenia.
 
ENGLAND BEAT SLOVENIA, USA DRAW OR LOSE AGAINST ALGERIA
The dour performance against Algeria is forgotten and a nation rejoices (or something like that) as England keep their World Cup hopes alive. England would qualify as Group C winners with five points and secure a meeting with the runners-up from Group D (possibly Germany). If USA draw, Slovenia advance as runners-up. If USA lose, goal difference would determine whether Slovenia (currently +1) or Algeria (-1) go through in second place.

ENGLAND BEAT SLOVENIA, USA BEAT ALGERIA
Fabio Capello can breathe easily in this instance too as England book their place in the last 16. England and USA would finish level on five points and goal difference would determine who progresses as Group C winners. If goal difference remains level, as is the case at the moment, goals scored (currently England 1, USA 3) would decide who finishes top.

ENGLAND DRAW, USA DRAW

In this scenario, England need a high scoring draw on Wednesday. Slovenia would go through as group winners, with England and USA finishing level on three points. Goals scored would decide who progresses. There is the possibility for drama even greater than that of a penalty shoot-out - if both sides are totally even then lots will be drawn to decide who goes through and who is out.

ENGLAND DRAW, USA WIN OR LOSE
England head for the departures gate and will probably not take much solace from the fact that they will be unbeaten and be home in time to watch the tennis at Wimbledon. Should USA win then they would finish level with Slovenia on five points and progress, should Bob Bradley's men lose then Algeria, with four points, would take the runners-up spot.

ENGLAND LOSE
Doomsday. England are eliminated and finish the group with two points. The post-mortem begins.
Hahahaha nimpenda mwishoni hapo Post mortem inaanza rasmi hawa ndo England bwana wazee wa kuzecha na media
 
ivory coast wanaweza kupita iwapo watashinda kwa tofauti ya goli 5 na kuendelea eg 5-0,6-1,6-0,7-0,7-2 na huku portugal akifungwa kwa tofauti ya bao 5 na kuendelea eg 5-0,6-1,7-0 au ikiwa ivory coast atashinda 8-0 na portugal akafungwa 1-0 au 2-1 ya kwa tofauti hiyo ya bao 1 basi ivory anapita,ila ikiwa ivory kashinda 8-0 halafu portugal kalala 3-2 hapo wataangalia yupo kacheza fair play yani hana kadi nyingi na hii inatokana walipokutana walitoka draw la sivyo wangeangalia nani alimfunga mwenzie walipokutana ktk kesi hiyo baada ya kwanza kuangalia goal difference kisha inafuata head to head,na zaidi ya hapo yani ivory kashinda 8-0 portugal kafungwa 4-3 au 5-4 au 7-6,anapita portugal,kwahiyo ikiwa ivory kashinda 8-0,9-0 halfu portugal kafungwa 3-2,4-3 respectively samahani nimetumia lugha ya kigeni kidogo hapo wanaangalia fair play,je sasa ivory coast wataweza mh tusubiri labda yanaweza kuwa maajabu ya musa,mimi naweza kidogo kuwamini algeria mana wengi tumewasahau ila wanaweza kuushangaza ulimwengu na afrika wakipita mfano leo akimchapa mnyamwezi,kwahiyo ni mambo ya mahesabu kuamua nani atapita group g ivory coast wanatakiwa wafanye kazi kweli huku wakiomba portugal alale nyingi ili waweze kuicheza karata dume vizuri
 
Kaka bado una mawazo na ivory cost? najua ni mpira lakini hizo goli 8 nani atazifunga? Drogba? no way wanaweza shinda 2 au 3. Timu ya kufunga mabao 8 haipo.

Bado nina 25% kwa Ghana kutoa droo au kushinda na kuitupa ujerumani na kusonga mbele. na hili likitokea basi mashindano haya yataweka record kwa Ujerumani kutolewa raundi ya kwanza tangu mashindano haya yaasisiwe.

Kumbuka tayari kuna record ya mwenyewe kutolewa kwa raudi ya kwanza - haijawahi kutokea pia.
 
siku yangu itakuwa njema sana leo kama muingereza atalembewa nje ya mashindano

Mmmhhhh!!!..weye una matani ya nguoni.Haya basi chunga pressure zisikupande na kushuka kama mechi za timu zetu za Afrika...:A S 103:
 
ivory coast wanaweza kupita iwapo watashinda kwa tofauti ya goli 5 na kuendelea eg 5-0,6-1,6-0,7-0,7-2 na huku portugal akifungwa kwa tofauti ya bao 5 na kuendelea eg 5-0,6-1,7-0 au ikiwa ivory coast atashinda 8-0 na portugal akafungwa 1-0 au 2-1 ya kwa tofauti hiyo ya bao 1 basi ivory anapita,ila ikiwa ivory kashinda 8-0 halafu portugal kalala 3-2 hapo wataangalia yupo kacheza fair play yani hana kadi nyingi na hii inatokana walipokutana walitoka draw la sivyo wangeangalia nani alimfunga mwenzie walipokutana ktk kesi hiyo baada ya kwanza kuangalia goal difference kisha inafuata head to head,na zaidi ya hapo yani ivory kashinda 8-0 portugal kafungwa 4-3 au 5-4 au 7-6,anapita portugal,kwahiyo ikiwa ivory kashinda 8-0,9-0 halfu portugal kafungwa 3-2,4-3 respectively samahani nimetumia lugha ya kigeni kidogo hapo wanaangalia fair play,je sasa ivory coast wataweza mh tusubiri labda yanaweza kuwa maajabu ya musa,mimi naweza kidogo kuwamini algeria mana wengi tumewasahau ila wanaweza kuushangaza ulimwengu na afrika wakipita mfano leo akimchapa mnyamwezi,kwahiyo ni mambo ya mahesabu kuamua nani atapita group g ivory coast wanatakiwa wafanye kazi kweli huku wakiomba portugal alale nyingi ili waweze kuicheza karata dume vizuri
Kwa forward gani ya Ivory coast?? yaani kushinda zote hizo sioni dalili...Brazil atashinda na kusonga mbele na Portugal Ivory wameshatoka labda wanunue game kinyemela!
 
soc_g_usa11_288.jpg

The USA fans get into the mood
 
Leo ni kazi kuchagua ipi ya kuangalia katika hizi mechi mbili. Mimi nitakuwa naruka huku na kule ili kuhakikisha sikosi kitu lakini hii ya Algeria na US inanivutia zaidi.
 
kumekucha sasa!
TIMU ZINAINGIA UWANJANI

wenye mapenzi mema na slovenia tumeshikilia p...m..u aetu hapa:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Nilidhani uko team ya GO USA GO! Kila la heri na timu yako LOL!
 
tujikumbushe kidogo..

''..ESPN Stats & Info: England haven't failed to score in back-to-back games since spring 2007...''
 
sijui itakua vp tu????? But would Love To see ENGLAND out today......hawa jamaa Publicity ni kubwa Kuliko uwezo........Nadhani kama ilivyokua kwa Ray itakua kwa Fab.......

God Help Slovenia............

God help Algeria,,,,,,,,,
 
Miye hufurahia sana kuzisikia nyimbo za Taifa na kuwaona wacheza wakiziimba kwa usongo na mapenzi makubwa ya nchi yao na hata wale wasioimba unawaona kabisa wanaguswa kwa namna moja au nyingine na nyimbo zao za Taifa.
 
Weather watch in Port Elizabeth: 19 degrees and sunny with a light south-westerly wind. Just perfect for football. There have been worries about the pitch, and it looks a bit patchy.
 
N'tafuta mtu wa ku-bet naye, naona hapa watu iko mineno mingi sana hakuna vitendo.

Kutoka ushinde ile ya NBA watu wamekuogopa mkuu!...Utawala hela laivu wakokodoa makengeza...:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Back
Top Bottom