Miye hufurahia sana kuzisikia nyimbo za Taifa na kuwaona wacheza wakiziimba kwa usongo na mapenzi makubwa ya nchi yao na hata wale wasioimba unawaona kabisa wanaguswa kwa namna moja au nyingine na nyimbo zao za Taifa.
Bwa ha ha...basi basi offer ime-expire..Kutoka ushinde ile ya NBA watu wamekuogopa mkuu!...Utawala hela laivu wakokodoa makengeza...:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Mkuu,
unatizama gemu ipi weye?..Remote lazima itaongea tu leo...mara USA vs Algeria mara UK vs Slovenia...:biggrin1:
hahahahahahaha...very possible!Natamani kweli standing leo iwe hiv mwishoni
Group C
Slovenia 3 1 2 0 4 3 1 5
Algeria 3 1 1 1 2 2 0 4
England 3 0 3 0 2 2 0 3
USA 3 0 2 1 4 5 -1 2
too early to mourn!Duh!!!!!!!!!...Algeria wamepiga mwamba ....Gaadeem!!!
mfamaji...:dance:The pitch seem bad