Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
wakorea haoooo wanaenda second round and they deserve it.
Wewe usiniambie una matumaini na England,hao wanakamilisha ratiba/sheria za FIFA kucheza game ya kesho warudi kwao..
duuh cha pili,nimebakisha matumaini kwa Ghana na Portugal.
Ngoja nikavite kopo la laga nikapumzike kule chini ya kivuli cha mti kwenye kiti changu cha uvivu kwa vile TV haionionyeshi kitu chochote cha maana.
matumaini nao sina lakini mara "jabulani" linafanya "ujabulani" wake. hawa waingereza nawachukia kuliko CCM aisee
Am off..............Ngoja nijiondokee zangu tu maana mhhhhhhhhhhhhhh.Inakera kweli bin kuskitisha
Am off..............Ngoja nijiondokee zangu tu maana mhhhhhhhhhhhhhh.Inakera kweli bin kuskitisha
Basi hiyo chuki yako kwa England squad ni kali aisee mana si ya kitoto,ha ha...
Bwana eeh umeona Naigeria walivyotolewa?!..pole sana,tafuta timu nyingine nikupe hongera ya ushindi na wewe siku nyingine..huh
duuh cha pili,nimebakisha matumaini kwa Ghana na Portugal.
Mi ndo maana nalia na makocha wa kizungu bana..........fikiria anamuweka benchi Martins mechi zote na kumuingiza dakika 20 za mwisho....................aaaaaaaaaaaaaaaaargh.........................kwa herihuyu obafemi martins huwa anapigwa bench bila sababu.