World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

huyu mnigeria angelikuwa serious mechi za mwanzo kama hii ya leo am sure tungekuwa tunaongea vyengine leo . lakini aaaargh waafrika bana
 
huyu mnigeria angelikuwa serious mechi za mwanzo kama hii ya leo am sure tungekuwa tunaongea vyengine leo . lakini aaaargh waafrika bana

Bora iwe last pressure watoke tu ili ushangilie timu zingine na wewe,ha ha..
 
ha ha ha!
nimerudi wakuu wangu
kama kawaida RIPOTA WA AKIBA..........
tulikuwa kwenye sherehe ya kuzindua kauli-mbiu mpya pale mkata kwa ''kibong'oto''
kauli yetu ni ile ile ARI ZAIDI,NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI............!
ngoja nigeuze antena kuelekea bondeni then nirushe vitu
 
Greece have stifled Argentina, but it won't be enough at the moment. With South Korea drawing, Greece need a win.
 
he he he .nitasahau machungu yote ya timu za kiafrika, kama muingereza atafungishwa virago kesho,
hebu jiagizie serengeti hapo mi nitapita kuklia bili:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
tatizo hata wakishinda timu za afrika zinatuangusha.wanaboa kinoma.

Hivi Prof.AW bado tu una matumaini na timu za Afrika? mie nilikata tamaa muda naona wanasindikiza game+burudani tu!..Tatizo Greece nao wanabana kweli,lol sijui Argentina watawin!tuone 2nd half itakuwaje..
 
he he he .nitasahau machungu yote ya timu za kiafrika, kama muingereza atafungishwa virago kesho,

Wewe usiniambie una matumaini na England,hao wanakamilisha ratiba/sheria za FIFA kucheza game ya kesho warudi kwao..
 
yule mshabiki wa North korea (preta) ,leo kapotelea wapi? au kagoma kuingia JF baada ya kubugizwa 7 na mreno?

Ha ha Preta bado ana machungu mana 7 mtungi ni balaa na leo sijui anashangilia wapi labda hii korea ya mrengo mwingine teh teh..haya 2nd half imeanza, go Argentina!!..wewe endelea kusubiri kilio cha Naija boys!
 
Greece have taken off an attacking midfielder for a left back. Doesn't bode well does it?
 
Hivi Prof.AW bado tu una matumaini na timu za Afrika? mie nilikata tamaa muda naona wanasindikiza game+burudani tu!..Tatizo Greece nao wanabana kweli,lol sijui Argentina watawin!tuone 2nd half itakuwaje..

duuh cha pili,nimebakisha matumaini kwa Ghana na Portugal.
 
Back
Top Bottom