World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

mtanange mwingine huu wakuu ambapo nchi nyingine ya kiafrika inatupa karata yake ya mwisho huku ikiomba Argentina ashinde.
World-Cup-Matches-Nigeria-South-Korea-Preview_2468812.jpg
World-Cup-Matches-Greece-Argentina-Preview-80_2468810.jpg
 
kama kawaida yetu tunatangulia vizuri tu ila sasa kuendeleza mwendo uleule hatuwezi, ngoja tuone kama wataweza kutoruhusu goli lirudi
 
argentina akishinda na nigeria akishinda wote wana pita hata kwa goli moja.south korea ndio yuko sawa kwa points na nigeria.[/QUOTduuh nimesahau kumbe Nigeria ana 0 points ,greece na korea wana 3 points .sasa hapa kuna issue ya goal diffrence na Argentina lazima amfunge Greece hili nigeria wawe na nafasi kwa goal difference.
 
Miafrika bana........Kweli ndivyo tulivyo...aaaaaaaaaaaaargh...........Nigeria 1 S.Korea 1
 
refa anawaonea sana wanaijeria. Anawaadhibvu bila sababu yoyote.
 
Back
Top Bottom