World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Jamani mmeokodolea luninga...tupeni raha ambao bado tunakomaa maofisini basi...acheni kubana bwana!

ukiona kimya mkuu ujue hakuna jipya .dakika ya 81 huku na hakuna lolote hapa zaidi ya miujiza ndio south africa wanategemea.
 
tuwasubiri wa nigeria tuone nawao manake kama ni mgonjwa mahututi basi leo ndio madaktari wanaamua kutoa mashine za kusaidia kupumua.
 
sijui hawakuambiwa half time kwamba wakiongeza goli mbili wamengepita duuh kazi kweli kweli kushangalia timu zetu za africa.
 
Dakika tatu za nyongeza...RSA 2-1 Ufaransa ..Timu zote mbili zitatolewa ikiw matokeo ni haya.
 
Egypt watataba sana. kwamba wenyewe ndiyo bora; wangepata nafasi lazima wangeingia 16 mpaka 8 bora!
 
uruguay 1 - mexico 0 . mpira umekwisha!

Matokeo haya yalikuwa ni perfect kwa France kama siyo upuuzi wa kumrudisha Anelka nyumbani. Nina uhakika France team iliyocheza na Uruguay ingefunga SA si chini ya bao tatu bila. Ila ile red card ya France sijui ilikuwa ni njama ya FIFA kuwabakiza SA kwenye mashindano. Maana ilikuwa 50-50 ball. Anyway wote wametoka tuangalie baadae Kama Maradona atatoa dozi kwa ugiriki na Nigeria amchape SC.
 
sijui hawakuambiwa half time kwamba wakiongeza goli mbili wamengepita duuh kazi kweli kweli kushangalia timu zetu za africa.

Kiongozi kweli kabisa hata kipindi cha kwanza eti kipa alikuwa anapoteza muda kisa wameshinda breee lakini walau wameondoka na mechi moja.


NB: Hebu nipeni data ktk historia ya WC ishawahi kutokea mwenyeji kuondolewa mapema kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom