World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

heheheeee... huku uruguay, huku sauzi!!! piga tobo bao
 
Binafsi nawapenda Sauzi kutokana na spirit yao, kimsingi hawana mpira wa kutisha wa talents lakini the energy behind them and their home fans is real exceptional, wakitolewa poa though i would love to see them going through. Hawa matozi wengine wa Kiafrika, the likes of CDVR na Nigeria to hell wth them!...cha msingi wawapige nyingi hao wafaransa.
 
4b03baf36faac7f67044d0fe02b381f2-getty-98586046jd040_france_v_sout.jpg
 
Nasali kweli hapa hawa mabwana wasituangushe aisee....:A S 103:

yaani mm naswitch channel kama mchizi hehehe kweli soka ni zaidi ya wazimu . inabidi wasauzi wakaze buti waongeze mabao, halafu tuache dakika 90 za mechi ya mexico ziamue. hata kama kufa inabidi tufe kitalibani aisee.
 
sasa wandugu huyu SA akipita anaenda kukutana na ARGIES si itakuwa aibu kama ya N.KOREA......waacheni mexico/uruguay wakapambane.......
 
sasa wandugu huyu SA akipita anaenda kukutana na ARGIES si itakuwa aibu kama ya N.KOREA......waacheni mexico/uruguay wakapambane.......

Mpira unadunda kaka, as we go further our spirit goes up as well!
 
Namsikitikia huyu bwana.Sijui kama atarudi Ufaransa ama atakata mbuga nyengine....

e32c3904f876a7e3c9bb32ca0c74ed48-getty-98586046jd039_france_v_sout.jpg
 
jamani mbona kama namsikia mtangazaji anasema south afrika itaingia ikiwa mexico itafungwa na yeye ikishinda 4-0?
 
Back
Top Bottom