Hata mie nshawakatia tamaa hao CIV....Nilikuwa namjibu jamaa(Klorokwini) anayesema kwamba pamoja na yote CIV wanakwenda 2nd Round.........Ndo nkamwambia kwamba itategemea na matokeo ya game ya kesho kati ya Portugal na N.Korea.........Portugal ana nafasi kubwa ya kushinda,akishinda ni kwamba CIV are out.................Labda N.Korea wawaotee Portugal hiyo kesho
Agree with you. Kama Portugal atamfunga NC kesho basi IVC are out kwani Brazil watakachofanya kwa hasira za KAKA kutolewa watatoa draw na Portugal tu basi maana kufungwa hawatakubali. Good results will be for N.C ama kuifunga au kutoa draw na Portugal