World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

gemu ni 2-1,seriously fifa itabidi wa deal na hili li refa la guatemala.yaani kumbe aliona handball halafu akapeta tu,duu..halafu kwanini refa atoke guatemala?refa wa hii mechi ilibidi atoke europe au asia..pambaafff

Halafu akawa anamwambia Luis kwamba umenawa mpira huku anacheka..............WTF

Halafu na huyu Sven ndo nini kumuweka mtaalamu Gervinho benchi???????????????aaaaaaaaaaaaaaaaargh............Makocha wazungu hawa...........
 
lawama namba moja iwaendee mods kwa kumuweka huyu mzee (shehe yahaya) kwenye hii sredi (msiniban ,natania tu)
lawama namba mbili imuendee erikson kwa kumuingiza gervinho kipindi cha pili
lawama namba tatu imuendee referee kwa mdebwedo aliouonesha goli la pili.

pamoja na yote IVORY tunakwenda 2nd round

Mkuu analysis nzuri.Nimekupigia ka thanks,nenda kacheki..Tuko pamoja bado hasa hapo nilipokoleza wino...
 
wakuu Tembo wana-goal difference ya -2 sasa, na Ureno wana 0 huenda wakapata +ve kadhaa kesho. Tunahali ngumu, tunamuhitaji Brazil kuishushia kipigo kikali Ureno, lakini kutokana na tension zilizotokea hapo dakika za mwisho, watatuhujumu tu. Tulitakiwa kujenga urafiki na Brazil leo siyo tension za ajabu.

Ni kweli Kaka kafanya kosa lakini lilikuwa linavumilika (I might be wrong). Swala la refa huyu naye inabidi awekwe kwenye kikaango kimoja na Coulbay.
 
Kutoka Guatemala? wewe ulikuwa unaangalia mechi gani? Refa ni mfaransa.

ebwana hawa watangazaji hapa wali mention guatemala..kama ni mfaransa basi ni choo kweli..timu lao lina mipingo kibao halafu bado linabania waafrika tuu..
 
yaani mkuu wee acha tu kama lile goli tungelipata ikiwa 2-1 nakuhakikishia tungeliwabugiza mengine mawili kabla kipyenga. refa kauza gemu halafu anacheka na fabiano, kaniboa kwli huyu refa, hehehehe haki ya nani akifariki mazikoni kwake siendi

Hahha hahha asante:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
wakuu Tembo wana-goal difference ya -2 sasa, na Ureno wana 0 huenda wakapata +ve kadhaa kesho. Tunahali ngumu, tunamuhitaji Brazil kuishushia kipigo kikali Ureno, lakini kutokana na tension zilizotokea hapo dakika za mwisho, watatuhujumu tu. Tulitakiwa kujenga urafiki na Brazil leo siyo tension za ajabu.

Ni kweli Kaka kafanya kosa lakini lilikuwa linavumilika (I might be wrong). Swala la refa huyu naye inabidi awekwe kwenye kikaango kimoja na Coulbay.
Pia kumbuka kwamba Ureno na Brazil ni damu damu,ni mtu na babaake................So tusahau kabisaaaaaaaaaaaa,hata CIV washinde mabao 10....hawa Wareno na Brazil lazima watasawazisha mambo tu...............Kwa heri(in advance) CIV
 
Sikutegemea timu yoyote ya Afrika itwae WC10 ila hata kuingia 2nd round jamani? itabidi sasa waajiriwe makocha wazawa tuone mbinu zao!..Asubuhi njema!
 
Halafu akawa anamwambia Luis kwamba umenawa mpira huku anacheka..............WTF

Halafu na huyu Sven ndo nini kumuweka mtaalamu Gervinho benchi???????????????aaaaaaaaaaaaaaaaargh............Makocha wazungu hawa...........

Mkuu shiuda Gervino anacheza namba moja na Drogba.....labda kalou ama Dindane should have provided the room!
 
lawama namba moja iwaendee mods kwa kumuweka huyu mzee (shehe yahaya) kwenye hii sredi (msiniban ,natania tu)
lawama namba mbili imuendee erikson kwa kumuingiza gervinho kipindi cha pili
lawama namba tatu imuendee referee kwa mdebwedo aliouonesha goli la pili.

pamoja na yote IVORY tunakwenda 2nd round

Itategemea na matokeo ya kesho ya Portugal na N.Korea
 
Mkuu shiuda Gervino anacheza namba moja na Drogba.....labda kalou ama Dindane should have provided the room!

Yeah....Kalou,Dindane na Eboue mmojawapo alitakiwa akae benchi aanzishwe Gervas a.k.a Gervinho
 
Itategemea na matokeo ya kesho ya Portugal na N.Korea

mkuu antenna yangu kali sana. rekebisha vuvuzela kesho jamaa wanatoka sare, gemu la mwisho mreno anapigwa na brazil, sisi tunampa mkorea kimoja chake akashuhulikie sanction za nuclear.
 
Itategemea na matokeo ya kesho ya Portugal na N.Korea
Ngosha una moyo punda duh, yaani bado una matumaini tu?

Ivorians wameshafulia. Wangekuwa na kocha mwenye mbinu wangecheza defensive game kwa kucheza na starika mmoja na kubana pale kati kwa kupunguza umbali kati ya midfielders na mabeki, wao wakajifanya kichwa ngumu na kuwaiga tembo kwenda haja. Matokeo yake tumeyaona. Kwa sasa hivi wapo between a stone and a hard surface, hamna nafuu.
 
Ngoja tusubiri game ya Brazil na Portugal.....................

yeah! kuna ugumu sana mechi hiyo. Brazil wanaweza kuwaachia Portugal kwa kuwa wameshafuzu na Ureno ni ndugu zao. Pia kulipa kisasi tension za leo. Wakati huo huo kuna uwezekano mkubwa wa Chile kumaliza nafasi ya kwanza hivyo Brazil watakomaa ili kuikwepa chile. Spain anayonafasi finyu sana hata kama ataifunga Honduras, mechi ya mwisho atacheza na Chile.
 
Ngosha una moyo punda duh, yaani bado una matumaini tu?

Ivorians wameshafulia. Wangekuwa na kocha mwenye mbinu wangecheza defensive game kwa kucheza na starika mmoja na kubana pale kati kwa kupunguza umbali kati ya midfielders na mabeki, wao wakajifanya kichwa ngumu na kuwaiga tembo kwenda haja. Matokeo yake tumeyaona. Kwa sasa hivi wapo between a stone and a hard surface, hamna nafuu.

mkuu mm nahisi jamaa hawakuwa wagumu kiivyo ,kama erikson angelitafuta formation ya kuwa accomodate gervinho na drogba tangu mwanzo wa mchezo ,am sure tungelikuwa tunacheka mida hii.
 
Hata mie nshawakatia tamaa hao CIV....Nilikuwa namjibu jamaa(Klorokwini) anayesema kwamba pamoja na yote CIV wanakwenda 2nd Round.........Ndo nkamwambia kwamba itategemea na matokeo ya game ya kesho kati ya Portugal na N.Korea.........Portugal ana nafasi kubwa ya kushinda,akishinda ni kwamba CIV are out.................Labda N.Korea wawaotee Portugal hiyo kesho
 
mkuu mm nahisi jamaa hawakuwa wagumu kiivyo ,kama erikson angelitafuta formation ya kuwa accomodate gervinho na drogba tangu mwanzo wa mchezo ,am sure tungelikuwa tunacheka mida hii.

Mzee,

WC ni mbinu, na wachezaji wenye ku-execute mbinu. Ivorians hawaezi kwenda 1-0-1 na Wabrazil, hivo hapo ilihitajika mbinu, sio kwenda kucheza kama wao. Hata Argentina wenyewe huwaga wanawafanyia taiming tu kuwafunga otherwise ktk sayari hii kila mtu akicheza na Brazil anajua kuna uwezekano wa 95% wa kupoteza mechi.

Ivorians walitakiwa wajifunze kwa Waswisi walivoeza kumchapa Spain, wangejifanya kwenda nao pasi kwa pasi wangeacha matundu langoni na wangepigwa si chini ya bao 4-0.
 
Yeah....Kalou,Dindane na Eboue mmojawapo alitakiwa akae benchi aanzishwe Gervas a.k.a Gervinho

Kalou is a dissapointment everytime he plays for his national team...! Inasikitisha kuona kwamba kwa timu za Africa ambayo imeshinda mechi angalau moja ni Ghana peke yake! Aibu sana!
 
Mzee,

WC ni mbinu, na wachezaji wenye ku-execute mbinu. Ivorians hawaezi kwenda 1-0-1 na Wabrazil, hivo hapo ilihitajika mbinu, sio kwenda kucheza kama wao. Hata Argentina wenyewe huwaga wanawafanyia taiming tu kuwafunga otherwise ktk sayari hii kila mtu akicheza na Brazil anajua kuna uwezekano wa 95% wa kupoteza mechi.

Ivorians walitakiwa wajifunze kwa Waswisi walivoeza kumchapa Spain, wangejifanya kwenda nao pasi kwa pasi wangeacha matundu langoni na wangepigwa si chini ya bao 4-0.

Jamani kama CIV walituchapa (T Stars) 1-0 na Brazili wakatuchapa 5-1 ungetegemea CIV wachapwe goli ngapi na Brazili? mbona wala humhitaji Sheikh Yahya!!! 3-1 ni obvious score. Tuwaombee CIV wakazane washinde mechi ya N.Korea...
 
he he he!
wapwa usiku wote huu mnajadiliana nini jamani?...........
mi nimeamka tu kidogo naenda msalani nakuta sredi inatembea mbaya
 
Back
Top Bottom