World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

sasa hawa wanalia nini kama sio wajinga?mpira wenyewe hawawezi pumbavu tupu
 
Pata attachment ya WorldCup in Excel, Kadiri unavyojaza matokeo ndio unavyopata fixture kwa second round, quarter, semi and final zinavyojipanga.
 
Attachments

Last time nilishindwa kabisa kui upload huku unaweza pia kuongezea mambo kama Total goals scored so far etc. ni Nzuri kweli
 
Hii haihitaji Sheik Yahya, Maandalizi, mazoezi, ujuzi binafsi, ushiriki wa muda mrefu katika kombe la dunia unaipa Brazil nafasi ya kushinda.Ingwa mpira wa miguu dakika tisini ndizo zitaamua
 
...Basi Kimiujiza ya mungu Ivory coast nao wanaweza kuifunga Brazil...ila nakumbuka kuona hio mada ya Sheikh yahaya kwa mana hiyo inachomatter kwake ni tarehe ya mechi ilikubalance kugawanyika kwa mbili!!..
 
Haya mambo yananitatiza sana. Kwani ingetokea kinyume chake huo utabiri ungekuwa na uzito? Au ingetokea Brazil inacheza na Belgium au Denmark tungesemaje? Kila mtu ana uhuru wa kuamini ila binafsi namchukia Shekh Yahaya Husseini na upuuzi wake!
 
hana lolote...kwa nini hakuwa akitabiri mechi zote...mwanga mkubwa huyu....kwani nani asiyejua Brasil watawafunga Ivory Coast....anaangalia penye mteremko eeeh!!!
 
Huyo mzee wala sijamfahamu anasema nini....anyway leo nyie mtashangilia Brazil au Ivory?
 
hana lolote...kwa nini hakuwa akitabiri mechi zote...mwanga mkubwa huyu....kwani nani asiyejua Brasil watawafunga Ivory Coast....anaangalia penye mteremko eeeh!!!

hapo kwenye buluu, kwa mara ya kwanza leo yule mende wako ataangusha kabati heehehehe tunampiga brazil bao mbili bila ya nguo (2-0).
 
Huyo mzee wala sijamfahamu anasema nini....anyway leo nyie mtashangilia Brazil au Ivory?

huyo mzee kadata na maisha na kajua biashara ya "uongo" na "uchawi" hapo bongo ina market kuliko kuchimba petrol , hapo ndio yupo classroom na madenti wake ,anarisisha elimu heheheheh Bongo kimewaka!
 
hapo kwenye buluu, kwa mara ya kwanza leo yule mende wako ataangusha kabati heehehehe tunampiga brazil bao mbili bila ya nguo (2-0).

hivi bado una matumaini na timu zetu.....au lile weldi kapu la ninihiii limeanza?
 
Huyo mzee wala sijamfahamu anasema nini....anyway leo nyie mtashangilia Brazil au Ivory?

Brasil kwa kweli.....CMR jana walinisababisha nikasafiri kwenda Mars bila kupenda
 
hivi bado una matumaini na timu zetu.....au lile weldi kapu la ninihiii limeanza?

ni uzembe wa hapa na pale tu, lakini Ivories na Ghana wanakwenda through . lile weldikapu la nanihii namimi nimeanza kula matizi , lazima bongo ikishiriki mimi niwe striker heheheh
 
Brasil kwa kweli.....CMR jana walinisababisha nikasafiri kwenda Mars bila kupenda

hhahha vipi huko Mars walikushangaa umeingiaje? mie naufata moyo wangu..unang'ang'ania Ivory jamani....
 
Brasil kwa kweli.....CMR jana walinisababisha nikasafiri kwenda Mars bila kupenda

wapeni credit lakini, jamaa jana walikufa kishujaa, ile soka nilipenda sana lakini nadhani hizi tarehe za shehe yahaya ziliwawekea kauzibe. Leo gemu la ivory naenda kuliangalia kwa jirani bana, jana nilimkosa junior bonge la mkono kwa uzembe walioonesha waghana. vishoka paraguay washampiga mtu bao hapa (slov 0 par 1)
 
ni uzembe wa hapa na pale tu, lakini Ivories na Ghana wanakwenda through . lile weldikapu la nanihii namimi nimeanza kula matizi , lazima bongo ikishiriki mimi niwe striker heheheh

teh teh teh.....uzuri wa hilo weldi kapu timu inakuwa na wachezaji 30 jumla uwanjani 60 jinsia zote mbili nusu kwa nusu na refa anaruhusiwa kushiriki akiona timu imezidiwa...ha ha ha
 
Hii WC gani tena Preta :hail:...bura ile yakufukuza kuku hahhhaahhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…