World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

he he he i love this WC.........i love it.................
 
Timu ya NZ ndo inaitwa All Whites si umecheki jezi, nadhani ya Rugby inaitwa All Blacks.
 
Hii ya leo sio jabulani mkuu?

JABULANI haijaanza vitu vyake......goli lilikuwa na a hint of offside....jamaa wa all whites aligusa mpira na kichwa hivyo kumfanya mfungaji kuwa offside at the same time kumpoteza maboya canavarro.............
 
........Huu mpira wa mwaka huu ovyo kabisa, yaani timu zote zile za mabingwa watetezi zipo hoi.Italy sio timu ya kufungwa na NZ......hebu tusubiri hadi mwisho labda Italy wanaweza kutoka kidedea hapa.
 
Mhhhhhhhhhh............hawa underdogs mwaka huu watawakoma,maana..............
 
.........Nafuu Italy angalau wamerudisha japo kwa penati.
 
Back
Top Bottom