World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Jamani hamna anayeangalia Slovakia Vs Paraguay..ama ni ubaguzi wenu????...😛eep:😛eep:😛eep:

Basi mambo ni kama haya...Paraguay wanaongoza 1 - 0

_48122208_mucha2_ap766.jpg
 
Paraguay wanatia mtu bao la pili katika dakika ya 85...They are definitely going through to the round of 16.

Hili lao kila mtu ana pointi moja na bao moja.Thats whats lifting their chances.
 
Ivory Coast watashinda kwa kishindo mbona sisimizi anakula mkate na anaumaliza...... au ukisikia sisimizi kameza dafu ndo leo
 
Jamani hamna anayeangalia Slovakia Vs Paraguay..ama ni ubaguzi wenu????...😛eep:😛eep:😛eep:

Basi mambo ni kama haya...Paraguay wanaongoza 1 - 0

_48122208_mucha2_ap766.jpg

samtaimu tunaangalia mpira kwa majina ya nchi. HILI GEMU MIMI NIMELIENJOY KULIKO GEMU ZA YULE FAVOURITE WA KICHINA a.k.a ENGLAND
 
Mpira kwishnei na Paraguay wamechukua pointi tatu kiulaini bila presha wala nini.
 
Haya wakuu wa majina...hii mpo ama mnakaa nje?

Karibuni tuone if Italy will live up to its hype.

_48025227_466x260_italy_newzealand.jpg

_48122457_italyfan.jpg

_48122458_allwhites.jpg
 
Ha ha ha..hii mimechi sasa imeanza kuni-suffocate. Ngojea ntaangalia kidogo nione kama kuna uelekeo, kama vp naendelea na ratiba nyingine.
 
huyu bingwa mtetezi nae yuko kwenye utata kama wenzie wa EURO,sijui leo atajikwamua au ndi yaleyale......
 
huyu bingwa mtetezi nae yuko kwenye utata kama wenzie wa EURO,sijui leo atajikwamua au ndi yaleyale......

Yule refa mhuni wa ile gemu ya Marekani naye yumo kama 4th official...hehehehe..
Wamarekani wanalilia kichwa chake...:mad2: :mad2: :mad2:
 
hicho kibendera kinasema 'all whites' mimi sijakielewa.....japo NZ itafungwa
 
Back
Top Bottom