World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mijitu inatembea uwanjani kizembe na kubutua utafikiri wao ndo wako pungufu bana
 
duh , kweli alotuloga waafrika ashakufa! hii mishuti tunayolembea bila mpangilio sijui ina mantiki gani aisee? finger xed lakini presha inapanda presha inashuka .gademu!
Mwenyewe nimejikuta nakuwa mpoooole.... Hata sielewielewi
 
Australia wametukosa goli la wazi....kama ni hivi bora mpira uishe!
 
Abdulhalim alisema kushabikia timu za AFRIKA ni kujitafutia BP........na mimi naona inaninyemelea sasa
 
situation kama hizi ndio unahitaji vichwa kama ESSIEN,MUNTARI,APPIAH,MENSAH.......simply bcoz they've been into these situations b4..... sio hawa wengine too many school boy errors.....
 
situation kama hizi ndio unahitaji vichwa kama ESSIEN,MUNTARI,APPIAH,MENSAH.......simply bcoz they've been into these situations b4..... sio hawa wengine too many school boy errors.....

Wala hujakosea. Hawa ni vijana wadogo na wanacheza kama umri wao. Kocha pia anachukua lawama hapa.
 
Heri Ghana ifungwe ili timu bora ziendelee kucheza Jabulani.

Africa lazima tukubali kuwa hatukujiandaa vya kutosha kwenye hii WC.

Halafu watu wanafikiri Ghana itaifunga German....
 
Heri Ghana ifungwe ili timu bora ziendelee kucheza Jabulani.

Africa lazima tukubali kuwa hatukujiandaa vya kutosha kwenye hii WC.

Halafu watu wanafikiri Ghana itaifunga German....

and then useme kuna njama za kuitoa ghana zinazofanywa na ujerumani.wangeshinda leo wamepita.wamepewa penati,mtu mmoja katolewa bado hawawezi kushinda.nimenawa mikono sishangilii tena timu ya afrika.....headache,bp.......
 
Back
Top Bottom