World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Yes we Gyan!

_48119361_gyan2_getty766.jpg



777bf9cc779ad44c579660b444083650-getty-98694083jd025_ghana_v_austr.jpg
 
ghana wana miss essien,muntari,appiah,john mensah....hawa wangekuwepo timu ingekuwa tishio.....
 
duh....kweli owusu anaingia na kumwacha muntari nje??
 
Yaani ghana hawana pace kabisa yaani Australia wanamiliki game mpaka sasa na watu 10, wanajaribu toka mbali mno yaani hawana mipango kabisa
 
some1 tell me please.....kwanini ghana wanashuti kutoka 25-30yards away???
 
duh , kweli alotuloga waafrika ashakufa! hii mishuti tunayolembea bila mpangilio sijui ina mantiki gani aisee? finger xed lakini presha inapanda presha inashuka .gademu!
 
Hawa Australia kama wangekua 11 basi Ghana wangelinywa tu leo...tana mabao ya kuhesabu.
 
Back
Top Bottom