World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48119256_holman2_getty766.jpg

JABULANI hiloo
 
Timu pekee ya Afrika ninayoishabikia, they need to step up na kuchukua advantage ya kuwa na mchezaji mmoja zaidi.

Yaani hawa ghana leo wangefungwa mengi sana, hivi hizi timu za africa zina nini?? wanazidiwa na watu kumi
 
Za Europe unazoona ni KALI SANA mpaka sasa ni zipi? Msiishangae Afrika pekee
 
sasa tunatakiwa magoli 2nd half maana tukishinda ni advantage than a mere dro
 
Yaani hawa ghana leo wangefungwa mengi sana, hivi hizi timu za africa zina nini?? wanazidiwa na watu kumi

Si timu za Afrika tu babu....Vipi kuhusu England,Spain,US,German,France na Italy hujawaona?,mbona nao washachemka sana tu so far.................

Muda bado babu..Subiri kipindi cha pili...Kawaida akishatolewa mtu kwa red timu yenye wachezaji wengi huchanganyikiwa kidogo maana timu pungufu hubadili mfumo so inakuwa vigumu kujua umkabe yupi umuache yupi....Socceroos watachoka 2nd half tutawachapa
 
Half Time Ghana 1 Australia 1......Go Ghana go...........Msituangushe.........
 
Yaani hawa ghana leo wangefungwa mengi sana, hivi hizi timu za africa zina nini?? wanazidiwa na watu kumi

mkuu....somtimes its very tricky playing against ten man.....
 
Kipindi cha pili ghana watarudi vizuri zaidi na magoli huenda tutayashuhudia.
 
NEWS ALERT:Anelka sent home for insulting Raymond Domenech....
 
Hivi kadi nyekundu ni ngapi mpaka leo? Mi naona WC hii ina kadi nyekundu nyingi mno ndani ya muda mfupi tu
 
Si timu za Afrika tu babu....Vipi kuhusu England,Spain,US,German,France na Italy hujawaona?,mbona nao washachemka sana tu so far.................

Muda bado babu..Subiri kipindi cha pili...Kawaida akishatolewa mtu kwa red timu yenye wachezaji wengi huchanganyikiwa kidogo maana timu pungufu hubadili mfumo so inakuwa vigumu kujua umkabe yupi umuache yupi....Socceroos watachoka 2nd half tutawachapa

Babu hukuona GREECE walivyochangamkia tenda baada ya NIGERIA kufanya ujinga??? Sasa hawa ghana---. Mambo ya ENGLAND achana nayo mi nataka Africa, sasa hawa ghna kutake advantage...... Sijapenda kwa kweli
 
Back
Top Bottom