Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Vyote kwa pamoja Mkuu
Sio viwanda tena?
Sio viwanda tena?
Wala sioni kipi unang'ang'ania hapa mkuu august.Mimi sipo kwenye vita baridi especially ktk biashara au shughuli zetu za kiuchumi iwe kilimo au biashara na viwanda
Mfano issue ya mkulima au mfugaji wa ngombe wa maziwa, kwanza dam hatuna kiwanda cha maziwa fresh zaidi ya maziwa ya unga ambayo yanawekwa kwenye packet kama maziwa ya maji, cha pili wenye viwanda wanaweza kuwa na mifugo yao na ku complement kutoka kwa wazalishaji wengine na kutoa bidhaa zingine kama samli, jibini n.k.
Na kuhusiana na maafisa ugani, ikumbukwe kwanza wanaweza kuwa wachache, lakini hizi ni biashara binafsi ya mtu si ya serekali, hivyo ili upate huduma yao lazima umlipe, ili aje sehemu yako aone changamoto zako au unataka serikali ikulipie??
Kwenye hilo hilo la ufagaji wa ngombe wa maziwa kuna suala la malisho, je wakati wa masika unahifadhi malisho ya kutumia wakati wa kiangazi ili ku hakikisha uzalishaji unaendelea vizuri, lingine wengi wa wazalishaji ni retired people na umri umekwenda hivyo kushindwa kutekeleza majukumu mengine kama kutafuta malisho ya kutosha hivyo wanabakisha mifugo kama hobby na sio shughuli ya kiuchumi, sasa sijui na hapo serikali iingilie
Azam marine, Fastjet n.k watu binafsi wana uwezo hata kuwekeza ktk reli lakini mnadanganywa na awamu ya tano.
Pia makampuni kama MOTL na Bahkresa Group wanaweza kuchangia rolling stock yaani kununua mabehewa kwa ajili ya usafirishaji mizigo reli ya mkoloni huku kampuni hizo ikilipa tozo kutumia miundo mbinu ya reli ya mkoloni iliyokarabatiwa.
Hii ni kuipunguzia mzigo serikali kununua mabehewa hata vichwa. Serikali kazi yake itakuwa kutunza reli ya mkoloni iliyokarabatiwa kwa gharama nafuu kuliko ujenzi wa SGR reli mpya.
Nchi nyingi dunia zinaendesha sekta ya reli kwa mtindo wa makampuni kushirikiana na serikali.
Kilimo kwanzaIS IT THE FIRST EVER "PROJECT" TO BE LAUNCHED IN TANZANIA? There were similar like HIPC, MKUKUTA, MKURABITA and name others. Where did they take us?
JUST MY RESERVATIONS THOUGH!