PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,180
Angalia Clouds na Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani





Angalia Clouds na Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani





Kwa majungu bongo hatujambo, halafu ni wanaumeUnajuaje kama anadanga? Tanzania kwa kukatishana tamaa tu, sio kila mwanamke ni mdangaji.



Kulima hawezi,sema analimisha mihogo!!Angalia Clouds Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani
Angalia Clouds Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani




Inashangaza mno kwa zama hizi za fursa za kibiashara kwann wasipiganie Sheria ya manunuzi ya umma isaidie vikundi vya wanawakeUmeniwahi yaani zaidi ya kushona sare na kupiga picha hakuna jipya na wamama wa kitaa wanaendelea na mishe zao
Ipo haja ya kubadilikaUmeniwahi yaani zaidi ya kushona sare na kupiga picha hakuna jipya na wamama wa kitaa wanaendelea na mishe zao
Kwa Kweli naonaga tu Wanawake wamevaa vitenge,lkn cha pekee sijui.Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
Angalia Clouds Malkia wa umma. Mtu unajua kabisa huyu full kudanga lakini anadai analima mihogo nchi nzima na ku-export Marekani


,Kuna mmoja Alikuwa anajigamba kuwa analima mbogamboga na kuuza nchi za Ulaya na America.Unataka waonyeshe nini?Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?