Women's Day -Hamna zaidi Mishono ya Vitenge?

Waache wafanye wanachoweza. Unataka wafanye nnzaidi ya hayo? Fuatilia story ya BAWATA miaka ya 1994/1995 ndio utaelewa
 
Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
Ni ombi langu kwa wanawake muwe proactive msisubiri mpaka tarehe 8 Machi
 
1615182227697.png
 
Hitaji kubwa la mwanamke ni mavazi. Mimi nadhani kila siku ya wanawake duniani kuwe na interview kwenye taasisi kubwa hata baada ya kila miaka 2, au maonesho kama yale yaliyomalizika juzi mlimani city ya wanawake wajasiriamali
 
Back
Top Bottom