and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
