Hili jukwaa ligeuzwe liitwe jukwaa la wanawake sasa. It's about time.
ni mtizamo wako tu mkuu.... ilivyokuja thread ya mashoga ulionyesha kuunga mkono kwa comments zako sasa imekuja hii ya mwenzetu ndo imekutia hasira eti... nina wasiwasi sana na nyendo zako!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni mtizamo wangu tu pia

Ni wiki Kadhaa Tangu mpenzi wangu anipige Kibuti katika mazingira ya kutatanisha.
I just met another woman whoa I have been dating for the last two weeks now.
Nimekuwa nawasiliana nae mara nyingi mida ya Mchana Lakini usiku huwa simu yake Imezimwa.
Am now getting the feeling that I love her, and I gues she loves me to.
Jana jioni tukiwa tumekaa in one of those places tunakoenda kujipumzisha mida ya Jioni, nikaamu kumdadasi sababu ya kuzima simu usiku.
Gues what!!! She told me she is Married though his husband Travels on regular Basis.
Jamani niliishiwa Nguvu.
Hivi hapa nani mwenye makosa?
Hivi mwanamke unapotongozwa, kama umeolewa unatakiwa umwambie mwanaume, Au unasubiri mpaka akuulize?
no,sio kama nakufatafat sana ni kwa vile wote ni great thinkers so inabidi tuwe tunajitahidi kukumbuka tunavyochangia mada zinapokuja jukwaani ili tusijejiharibia au kuonekana tofauti. ni hilo tu boss,kukumbuka comments zetu za nyuma kabla hatujachangia nyingine....Ndugu naona kweli una obsession na mimi. Vipi kuna kitu umenimaindi au? Maana naona unanifata fata sana kila sehemu. Nikusaidieje?
Hili jukwaa ligeuzwe liitwe jukwaa la wanawake sasa. It's about time.
<span style="font-family: comic sans ms">Hapo kwenye blue unanichanganya kidogo... Kumbe hamjatongozana kwasababu u are just feeling kuwa mnapendana sasa kama hamjaingia kwenye hyo stage anakosa gani yeye? Pengine she just want your company na sio kungonoka.</span>
no,sio kama nakufatafat sana ni kwa vile wote ni great thinkers so inabidi tuwe tunajitahidi kukumbuka tunavyochangia mada zinapokuja jukwaani ili tusijejiharibia au kuonekana tofauti. ni hilo tu boss,kukumbuka comments zetu za nyuma kabla hatujachangia nyingine....
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambafSasa na wewe unamtongoza mtu hujui anaishi wapi na anaishi vipi?!
Mmezoeana mpaka kutongozana ila ukashindwa kabisa kumuuliza kama ana mtu?!
Jifunzeni kuwa marafiki na watu kabla ya kuomba mapenzi!Sio unadandia tu kila daladala kabla kusoma kibao kwanza kujua inapoelekea!!
no,sio kama nakufatafat sana ni kwa vile wote ni great thinkers so inabidi tuwe tunajitahidi kukumbuka tunavyochangia mada zinapokuja jukwaani ili tusijejiharibia au kuonekana tofauti. ni hilo tu boss,kukumbuka comments zetu za nyuma kabla hatujachangia nyingine....
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitaka amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
Hivi mwanamke unapotongozwa, kama umeolewa unatakiwa umwambie mwanaume, Au unasubiri mpaka akuulize?