Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Mtu akinywa huwa analewa, aliyelewa huwa analala, aliyelala huwa hatendi dhambi, asiyetenda dhambi huenda mbinguni.Hivyo TINYWE POMBE , sisi Tinasubii kwaezma iishe tinywe hadi tinye kani shida nnini mgoshi.Laha jipe mwenyewe maisha yenyewe magumu kama chuma cha mjerumani!