Women Who can't handle their drinks

Women Who can't handle their drinks

Hapa kuna kanafasi kazuri sana ka kufanya utafiti wenye tija...

Kuna utani kwamba Mungu hakuwamba wajukuu zangu na uwezo wa kunywa bia......

Mhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Ngoja nikalale kwanza...!!
 
umeongea point heri yangu mimi situmiii kabisaaaa pombe kwanza huwaga sioni faida ya pombe chungu mnooo acha nibaki na ushamba wangu
pombe inaongeza majanga ya kujitakia
1 kubakwa
2 inapunguza heshima ya mwanamke
3 inaondoa opportunity ya kupata maendeleo kwa wakati muafaka
and so on
 
umeongea point heri yangu mimi situmiii kabisaaaa pombe kwanza huwaga sioni faida ya pombe chungu mnooo acha nibaki na ushamba wangu
pombe inaongeza majanga ya kujitakia
1 kubakwa
2 inapunguza heshima ya mwanamke
3 inaondoa opportunity ya kupata maendeleo kwa wakati muafaka
and so on


Ya kweli hayo binti?

Kama pombe ingeongeza speed ya kubakwa basi yangekuwa majanga!
 
Pombe siziwezi aisee,..na nliziona sio nzuri siku moja tumeenda kibash mbalamwezi na my friends,one of the girls akawa anakunywa savannah akaona halewi akazimua na konyagi,mama wee almanusra abakwe cku hyo..tulimtafutaaa kuja kumpata kuna majamaa yanamvuta polepole kwenda karibia na maji,hapo anacheka cheka hajielewiii,ndo ikabd kumbeba mzobe mzobe na kuondoka niltapikiwajee kwenye gari sasa...sina hamu,
pombe hizi,esp for women,kama huwezi acha tu,ts disgraceful
 
Ya kweli hayo binti?

Kama pombe ingeongeza speed ya kubakwa basi yangekuwa majanga!

unafikiri wote wanaobakwa wanaripoti idadi ni kubwa wengine wanachanganyiwa madawa kwenye vilevi then anaenda kufanyiwa mambo bila hiari yake
wengine wanakokotwa tu chumbani bila ridhaa kisa pombe baki wale wanaobakwa kwa kuangusha gari barabarani
 
hivi Angelicious ulidhani ni chai???

376259_182601958537637_1767334260_n.jpg
chupa ndoogo inadondosha kilo 50 mpaka 150!
 
na myafanyie mijini huko huko..

msiwaambukize vigori wetu wa sitimbi aisee.
 
Hahhah.....Picha zako Mkuu Tyta

Ni muhimu kunywa kwa kiasi,sio kukomo pombe wajameni
Mara Nyingi Hizi Huwa za offer
 
Ni ukweli mchungu sijui kama wataelewa. Kuna mama flani huwa akilewa anavua na kufanya vituko vya kila namna hasa mumewe anapokua yuko nje ya nchi. Ni aibu sana hasa kwa watoto, ulevi si sifa njema kama huwezi bora utulie na ikiwa lazima basi kunywa maji ya uhai. Kuna madhara mengi yatokanayo na ulevi kama vile kupata magonjwa iwapo utaingiliwa , kupata ujauzito usiotarajiwa hata mtoto akizaliwa ni aibu kumwambia nilikupata ulevini simjui babako.
 
Ha ha ha!!!! Excel yani we acha tu!! nilifikiri chai wangu
 
Last edited by a moderator:
Si bure, analake jambo
Yaani ukimuona hajalewa ni mama mwenye heshima tena ni mtu mzima hapaswi kabisa kufanya anayofanya. Huu uzi walengwa wasichukulie kama porojo ni aibu sana hasa unapoona mtu unaefahamiana nae na pengine mnaheshimiana anafanya mambo ya aibu. Inapunguza thamani ya mtu umuonapo kalewa huku akifanya vituko vya aibu.
 
Yaani ukimuona hajalewa ni mama mwenye heshima tena ni mtu mzima hapaswi kabisa kufanya anayofanya. Huu uzi walengwa wasichukulie kama porojo ni aibu sana hasa unapoona mtu unaefahamiana nae na pengine mnaheshimiana anafanya mambo ya aibu. Inapunguza thamani ya mtu umuonapo kalewa huku akifanya vituko vya aibu.

Huwa Najiuliza wanawake wakilewa wanakuwaje? Si kwamba wanaume hawalewi na hawaonyeshi vituko ila wanawake wakilewa wanakuwa hovyo Mbo hadi kusahau kama wap ni wanawake
 
Ujumbe mzuri dada yng Karucee

Honestly Karucee you've spoken very wisely, you even sound like a very shrewed retired hooker granny(Joke!)! Congrants!
I love a woman who can drink with Me but I hate it when I have to mop her puke off my room's floor or carry her the whole way home! I can stand it once or twice but it becomes so bothersome when it happens frequently!
I hate it when I have to worry for hours when shes gone out with her friends because Its hard to predict what will happen next when shes drank na wahuni waliojaa mjini humu, huchelewi kumwokota kwenye mtaro somewhere huku washabutua marinda!
MWANAMKE kama unaona huwezi kuhimili unywaji kwa muda mrefu au huziwezi pombe, nunua unywee home, kataa offer zitakusababishia matatizo ambayo hautasahau!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom