Women Who can't handle their drinks

Women Who can't handle their drinks

hadi wanawake wengi wanaopigwa mtungo ni style ya kuangusha gari
 
Umejikumbusha dem alilewa eti anajifanya "amenipenda" ghafla... wakati namshangaa sijui hili wala lile nukaona mtu anakwanda flat right under my legs... mbaya zaidi alikuwa mke wa mtu
 
du Evelyn Salt...!!
attachment.php

huyu alifikiri yupo kwenyye choo cha kukaa nini??
 
ukiona mtu kalewa chakarihajjielewi kisa pombe ujue ama za offer hizo so alikuwa haamini au mgeni kwenye sector hiyo alafu alitaka awaonyeshe watu kwamba na yeye ni mwenyeji.matokeo yake anaenda hatua mbili mbele tano nyummba alafu anajipongeza
 
ila Karucee my dear ungetoa walau scenario moja iliyokugusa wewe na jinsi gani pombe imekuaibisha nahisi ingesaidia sana
 
Last edited by a moderator:
Karucee of all the days leo umenikoshaa.......being a big guy myself I've had to carry lots of girls to safety coz ya overdrinking......and of course....some shetani alinipitia....
They just become too damn inviting when drunk, I swear!
 
Last edited by a moderator:
umeongea point heri yangu mimi situmiii kabisaaaa pombe kwanza huwaga sioni faida ya pombe chungu mnooo acha nibaki na ushamba wangu
pombe inaongeza majanga ya kujitakia
1 kubakwa
2 inapunguza heshima ya mwanamke
3 inaondoa opportunity ya kupata maendeleo kwa wakati muafaka
and so on

Personally, I dont date women who drinks, labda nisijue na nikijua itakubidi tu uache or else tuachane.

Nimeshaona kesi nyingi sana za wanawake kufanyiwa mambo ya ajabu wakiwa wamelewa, wengi wamebakwa na marafiki na wengine mpaka wameliwa TIGO kwa ulevi tu. Halafu me sinywi pombe we utakuwa unakunywa na nani?

Acheni niitwe mshamba tu
 
Personally, I dont date women who drinks, labda nisijue na nikijua itakubidi tu uache or else tuachane.

Nimeshaona kesi nyingi sana za wanawake kufanyiwa mambo ya ajabu wakiwa wamelewa, wengi wamebakwa na marafiki na wengine mpaka wameliwa TIGO kwa ulevi tu. Halafu me sinywi pombe we utakuwa unakunywa na nani?

Acheni niitwe mshamba tu

umeona eeeh
 
Mma weeee! Sijawahi kumshauri mtu anywe pombe!!

AKija kuharibikiwa?
Eli79 na miss neddy wabaki hivyo hivyo. Don't ever drink. Your life will not end if you don't.

thank you dear maana pombe ya kuijulia uzeeeni ni shiiiiida yaweza kumpeleka mtu siko wallah
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teeeeeeh. I wonder if there is anything worse than a woman who cannot handle her drink. Juzi kati hapa nimetoka zangu out kula ujana.
Basi nikasema ngoja nisogee zangu home manake mda umeenda but first ngoja niende ladies. Ile naingia nikakuta mdada yupo slopped kwenye corner she couldn't even pull her jeans on. Hell she couldn't even pull on her panties let alone stand. Akaniambia shosti naomba nisaidie kuvaa. Nikaona hii ya leo kali. Basi I got over the nasty act akanijambia weeee nikamsindikiza nikaacha ameagiza maji nikasepa zangu mitaa ya home.

Siku mbili kabla kuna mdada nilikutana nae alikuwa amekuja harusini mtaani akitokea Tanga. We just clicked like that and drunk our asses off tukiwa tumekaa kaunta Good Hope Bar. Baada ya kuagiza bierre kuna mdada akaja kuniambia yule dada wa Tanga yuko pale twende ukamsalimie anakuita. Wow. It was a table full of women and two guys. Oh lalaaaa. Hizi aibu zangu hapa dawa kujilipua. It tuned out pretty well actually we had fun.

Ila tu issue ni kwamba dada yake bi shosti aliponiomba nimsindikize toilet, akaanguka face first on the ground with her big ass wearing a thong. A woman her age wearing a thong? Nikakaa nimeshangaa. I didnt know how to handle that. I think the night had been jinxed.....

So I came up with this thread:

Lady if you cannot handle your drink quit or drink at home. I always say beer at home doesn't taste good but I am not you. I know when am tipsy and I know when to drag my silly ass home.

Drinking at home can be pretty fun. When I choose to drink home I prepare some hors d'oeuvre, chill some beers , Freeze some rocks if am taking whisky or gin, roll some weed and entertain myself with my choice of music and have a private session of karaoke. I could have some buddies over and well have a great time.

I have been drinking for more than a decade. I have seen women get laid just like that. I have seen women fall flat in the parking lot. I have seen women inject drugs into their veins..... A night of drinking with no regards to your safety can be very dangerous. You could lose your life just like that, believe you me.

Don't rely on your friends to take care of you. Have enough sense to know when you have had enough. Do not entertain offers to buy you more beers if you cannot drink anymore.
No one will consider you a heroine for drinking the most beers. Wengine kina naniliu wanasubiri uzime wakunanilii na video juu. Uso wako utauweka wapi mjini hapa na Whatsapp hii?

Beer hainaga formula. Mie mama lao Karucee sometimes just 200ml of whisky makes me speak my mother tongue. Other times I drink for more than 15 hours straight. Wanafunga bar wananichia drinks zangu pembeni. Chezea staff wa bar wewe? You can never predict how alcohol will drive you. Sio supu hii mama weeee.

Being in a drunken state means that you are more vulnerable. You could easily be overpowered and get raped. They could do your ass unajua? Utalia na nani ushafanyiwa kamchezo kabaya? No laughing please am serious.

Kindly be careful.

Am out.
Mndengereko, Ntuzu, utafiti, EMT, Tized, OLESAIDIMU Eiyer, kobun Mtambuzi, SHIEKA, Desert Storm, muwahabarishe dada zenu.
Evelyn Salt, miss chagga, Honey Faith, Angelicious miss neddy Zinduna..... na wengine, please drink responsibly.

I must say..u can really write a pretty story. Educative and relative! Well put
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hapo juu nina swali kidogo kwako. Hivi baada ya huyu demu kuanguka na kujinyea, kulikuwa hakuna jamaa wa kuvuna kisamvu hiyo sehemu? Dahhh, nina hasira kweli maana umesema too late. Ni sehemu gani ilikuwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom