Woman of my dream

Mweeeeeh!! Mie mkorogo ushanitifuatifua hadi sijulikani nina rangi gani, yaani ni tafrani, sina sifa hata moja hapo.

Wapi ww..Usinge kuwa unawanyima watu usingizi humu..watu hawalali wakasinzia kwa ajili yako ww
 
Ahaaaa utoto raha sana.
Anewei napita tu embu kwanza lowassa aapishwe ntarudi kupiti huu uzi
 
Mimi nina sifa zako zooote, ila hapo namba tatu umenivuruga n'jomba, unajua lafudhi inategemea ntu na ntu sio kila ntu anaongea hivo...Ndo ushakosa nke chacha....
 
6. Awe shujaa wa moyo wangu na namuadi kuwa shujaa wake, maana kama ni care naijua, na ntajua anachotaka.

[/QUOTE]

Ngoja Waje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom