Woman love Risk Takers

Masculinity metaphysical representation yake ni muscles au physical strengths.....symbolically...plus tabia za kipumbavu za alpha males and shit

Maiti wewe....

Kinachotofautisha uwezo wa mafanikio ya mtu na mtu ni level of brain power (Intellect + Knowledge)

Blah blah zingine za Masculinity mara Feminity ni nonsense na inaonesha you dont know exactly what you are trying to tell us.
Masculinity - qualities or attributes regarded as characteristic of men.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
People, tuskilizane
Men are risk takers and hustlers, sio kila risk ni lazima iingie kwenye rada, zingine unaziacha zipite,,, that's why most people in prison ni wanaume coz of risks ambazo was not worth taking,

Swala la ladies achana nalo tu they are confusing, but what i am sure of ni kuwa they love wanaume ambao wana dominance and potentials i mean cars, body morphology in term of symmetry, mkwanja, brain potential, position kwenye jamii, ujanja mwingii, na vitu kama hvyo, generally beats ideality ni their turning point yaan hvooo,, thats why wale wana ambao walikuwa wanacheza ball vizuri school, vipanga na madencer walitulia sana mademu zetu ( maniner zenu)

What ladies love ni satisfying outcome ya risks na sio risk yenyewe,,
 
Not true

Ni tabia za kipumbavu based on men hormones ambazo hazina uhusiano wowote na "Kufanikiwa" as a human being which does not include "BRAIN" anyhwere!

Mifano Masculinity ni "handsome, muscled, driven, etc"

Mifano yote hapo juu ni metaphysical hakuna brain power popote

Ndio maana hata wanawake wasio na Masculinity wana SUCCESS zaidi ya wanaume wenye Masculinity,how do you explain this kupitia your stupid reasoning uliyotoa hapo?

Eti Mafanikio ya mwanadamu ni product ya Masculinity,what a stupid reasoning you are giving

Hakuna mahusiano yeyote
Kiongozi nna swali,, if masculinity haihusiki na succes why, top field like engineering, law, business, uongozi, medicine, education, firms za biashara, na organization kibao,, majority ya zile top figure ni men,, if it doesn't have anything to do with hormones and something like that,, why top 10 billionaire ni men na hakuna she hata mmoko?
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi;
Mada ya Kiingereza, halafu inajadiliwa Kiswahili
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi;
Mada ya Kiingereza, halafu inajadiliwa Kiswahili
Jamani hiki kizaramu kina ladha yake kwenye majadiliano kibongo bongo.....hiki kimalkia tutakitumia tu kwingineko kinakohitajika....
 
People, tuskilizane
Men are risk takers and hustlers, sio kila risk ni lazima iingie kwenye rada, zingine unaziacha zipite,,, that's why most people in prison ni wanaume coz of risks ambazo was not worth taking,

Swala la ladies achana nalo tu they are confusing, but what i am sure of ni kuwa they love wanaume ambao wana dominance and potentials i mean cars, body morphology in term of symmetry, mkwanja, brain potential, position kwenye jamii, ujanja mwingii, na vitu kama hvyo, generally beats ideality ni their turning point yaan hvooo,, thats why wale wana ambao walikuwa wanacheza ball vizuri school, vipanga na madencer walitulia sana mademu zetu ( maniner zenu)

What ladies love ni satisfying outcome ya risks na sio risk yenyewe,,
Great point mzee.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mungu mwenyewe anachalenjiwa kila siku ndio mwanadamu wa hovyo asichalenjiwe,like what the fvck?

Unakosea tena kwa mara nyingine!

Thinking yako bado ni ya hovyo,still...na nakuchelenji kama ifuatavyo!

In todays life,competition does not depend on human Masculinity(muscles).....it depends entirely on Brain Power!

Kwa your stupid way of thinking basi body builder The Rock angekua tajiri zaidi ya Bill Gates asie na msuli wa aina yeyote!

Kwahiyo upumbavu wako wa muscle wa savage centuries inaonesha still your thinking process is still hujui unachoongea.

Risk activities ni zipi na according to who?

Kama kujenga pesa ni Risk Activities basi kila mwanadamu anaetafuta ugali wake wa kila siku ana qualify this nonsense you are talking about..

Wanawake wanataka SUCCESSFUL men regardless ya njia uliyopia...wewe unaongelea entirely a different thing

Acha ku-musterbate,tafute real pussy upige!
Mkuu nafikiri "masculinity " aliyoizungumzia ni psychologically zaidi na sio phenotype yani ile physical appearance???

Hii mada ya kutake Risk mdau kaileta tofauti au no wadau mdio wameelewa tofauti??

💪🏾😁 tuendelee na mada

...tupate kujifunza
 
Kuamua kuwa na mahusiano na mtu wakati huna pesa hiyo pekee ni risk tosha kabisa, sababu lolote laweza kukuta.

Ni wanawake wachache sana wana appreciate hiyo kitu, ki-bongo bongo wengiwao ni vichwa maji.

Imagine huna kazi, pesa au mambo yanakuendea vibaya, linatokea jambo unaamua ku-risk mambo yanakaa sawa, ni bora kama uli-risk Kwa jambo lako, vip kama ni Jambo la mtu mwingine ata appreciate?

Mwisho wa siku utaambiwa kwani nilikulazimisha! Si ulifanya kwa hiari yako, usingefanya wewe wapo wengine wangefanya.

Acha tuendelee ku-risk kwenye kutafuta mafanikio ila kwenye kupendwa ahh endeleeni kusubiri.
 
Kuna maisha nje ya mahusiano ya mapenzi, tumeshachoka na sreds za mapenzi khaaaqh.
 
Hivi mbona akitokea mwanaume akatusifia humu wanaume mnatoa mipovuuu hivi?

Mna matatizo gani wanaume wa jf?
 
Weee, nani yupo tayari kupoteza ka mbebez kwa kujifanya nunda.......na nyie punguzeni vituko basi, mtupunguzie hasira na disappointments angalau tuweze ku relax na nyinyi...
Haahaa sasa mbona unampoteza mwenzako?
 
Back
Top Bottom